Serikali ikune kichwa timu ya kupambana na Barrick

Serikali ikune kichwa timu ya kupambana na Barrick

  • Mwisho naombea usiri wa hali ya juu kwenye idadi ya wajumbe na majina yao
  • Ikiwezekana wakajuane huko huko ukumbini watakapo kutana kwa mara ya kwanza
  • Na kama Raisi atawaapisha pia awaapishe kimya kimya
 
Viongozi wa dini watasaidia kubaini uwongo wa acacia uliojificha kwenye maneno yao Mengi.

Na pia watatimika kuwatisha kwa misingi ya kiimani. Kwa mfano shehe atamkabili bwana mwapachu mapemaaa juu ya melekezo ya mtume juu ya dhulma na uonevu kwa masikini.
Haya bwana mi sikuwezi
 
Mimi napendekeza watu wafuatao wafikiliwe wakati wa uundaji wa timu.
1.Masocialists na manationalists kindakindaki toka udsm idara ya development studies ,hawa kazi yao iwe ni kupinga mfumo wa kibepari na wakomalie hao acacia waondoke watuachie madini yetu. Hawa watasaidia kutengeneza mazingira ya sintofahamu na kuwaonyesha hao acacia kwamba tunafikiria mambo mabaya dhidi yao zaidi ya hoja zilizomezani.

2. Wanamazingira
3. Viongozi wa dini.
4. JWTZ


[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] no.4 ni noma asee
 
  • Mwisho naombea usiri wa hali ya juu kwenye idadi ya wajumbe na majina yao
  • Ikiwezekana wakajuane huko huko ukumbini watakapo kutana kwa mara ya kwanza
  • Na kama Raisi atawaapisha pia awaapishe kimya kimya
[emoji54] [emoji54] [emoji15] [emoji15] [emoji50] [emoji50] [emoji15] [emoji15]
 
Tanzania la Watanzania kila Jambo tunajua na tunatoa Ushauri......Acheni kutisha tisha... Hao Barick ni binadamu sawa na sisi tu.

Nadhan hujaelewa hoja. Hoja siyo kwamba kuna mtu anatishwa au kuna mtu anahisi hao ni watu kutoka sayari nyingine. Hoja muhimu hapa ni kuwa na watu wabobezi. Maana pamoja na kwamba ni watu kama wew lakini kuna suala la utaalamu. Ndiyo maana pamoja na kwamba ni watu kama wew lakini Tanzania inaibiwa na mikataba ilisainiwa na watanzania wenzetu hawahawa ambao ni watu kama wao. Unadhani tunaibiwa kwa sbb wao ni malaika?? Swala ni nani anakuwakilisha. Ni vzr kuelewa hoja kabla hujaandika inasaidia zaidi kuliko kuandika tu mradi umeamua kuandika hata kama ni off point
 
Viongozi wa dini watasaidia kubaini uwongo wa acacia uliojificha kwenye maneno yao Mengi.

Na pia watatimika kuwatisha kwa misingi ya kiimani. Kwa mfano shehe atamkabili bwana mwapachu mapemaaa juu ya melekezo ya mtume juu ya dhulma na uonevu kwa masikini.
money has no dini
 
Back
Top Bottom