Serikali iko tayari kugharamia matibabu ya Tundu Lissu popote Ulimwenguni

Huu ndio unafiki. Mlikuwa wapi toka zamani. toeni huu upuuzi. Hii ni sawa unakuta jitu lipo kimya tena wakati mwingine linakebehi wakati wa mgonjwa anapokuwa anaumwa lakini linajitokeza na kutafuta umaarufu. Muwe mnaona aibu wakati mwingine. Kwani hamuwezi kukaaa kimya au potezeeni!!
 
So mlisema wanaoumwa ni wengi, serikali haiwezi kuhangaika na mtu mmoja?

Akiba ya Maneno na discipline Ya kuongea ni muhimu mno Kwa wenye dhamana.........

Diplomasia Ya dunia imebadilika na ni muhimu kweli tukachunga tunayoyatenda...
Tanzania sio kisiwa tukibananishwa na hao mabwana Zimbabwe tutaitamani........

Ule "ushamba"uliotajwa na Zitto usitajwe tena miongoni mwenu
 
Back
Top Bottom