Serikali ikidhamiria kuirudisha ATCL ifanye haya...

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
HAYA MAMBO KADHAA HAYATAKWEPEKA

1))IKUBALI KUANZA KUKAGUA MADENI YOOTE YA ATCL KABLA YA KUYALIPA

2))IANZE KUPUNGUZA MADENI YA ATCL YANYOTHIBITIKA NI HALALI ..NASEMA HIVI KUMAANISHA

3))ISIMAMIE KAMPUNI YA ATCL SI ZAIDI YA MIAKA MIWILI HUKU IKIFANYA YAFUATAYO

1@)KUNUNUA NDEGE ZILIZO IMARA NA HATA KAMA KUKODISHA SERIKALI ISIMAMIE ZOEZI HILI KADRI IWEZAVYO..
2@))KUPELEKA WAFANYAKAZI TRNG MAPEMA KABLA NDEGE AZIJAFIKA
3@KUZUIA MFANYAKAZI YOYOTE WA SERIKALI ASIPANDE NDEGE NYINGINE AMBAYO ATCL INAENDA...

4@KUONGEZA RTE ZA MAANA NA HAPA INAITAJI KUAJIRI WATU WALIOBOBEA KWENYE MARKETING NA KUWAPA JUKUMU LA KUSIMAMIA ZOEZI ZIMA LA UTOAJI NA UUZWAJI WA TKS

5@))KUBADILI MANAGEMENT NA KUCHAGUA ILE AMBAYO WANAHISI INAWEZA KUIFIKISHA KAMPUNI SEHEMU FULANI

6@))KUVUNJA BODI NA
 
Ni vizuri wakashirikiana na sekta binafsi.
 
NA KUCHAGUA BODI AMBAYO WAPO WENYE EXP AMBAO WANAJUA MAMBO YA NDEGE NAMMUACHE KUTUCHAGULIA SIJUI MKUU WA MKOA..MKUU WAWILAYA..OOH MBUNGE WA ILALA HIZO BIASHARA ZIFE..TUNAITAJI COMMITED BOARD.

HAWA MANAGEMENT NA BODI WANAPEWA TARGET NDANI MIAKA MWAKA WAWE WAMEFIKISHA STEP FULANI ELSE WAKISHINDWA NAO TOA WEKA WENGINE........

WAFANYAKAZI WALIPWEE PESA STAHIKI MNS MSHAHARA WA KUTOSHA NA AMBAO AUTAWASHAWISHI MAPEPO WALA MAJINI KUWASHAWISHI KUIBA...

SAFARIII ZOTE ZIHAKIKISHWE ZINASAINIWA NA WAZIRI HUSIKA HUKU AKIHAKIKI Kila WIZARA INAPELEKA VOUCHER ZAO ATCL PALE SAFARI HIZO ATCL INAENDA..TUSIRUHUSU KUAIBIKA NANHUKU TUNASHABIKIA NDEGE ZA WENGINE......

.........@LOADING KESHO
 
Kwani mnafikiri Serikali haijui cha kufanya, hapa katikati ni kama hatukuwa na uongozi madhubuti, kwa hiyo watu wakaifanya nchi kama Shamba la bibi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom