Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
- Thread starter
- #61
Mkuu unafikiri nini kilichopelekea ugomvi wa Nchi za magharibi na serikali ya Venezuela.Sasa bado hujawa muwazi MKUU ishu nimfumo mbaya ama ishu nimashinikizo waliyokumbana nayo ndio yamewafanya kua nahali mbaya kama waliokua nayo ?!
Sitaki sana tuijadili serikali ama tumjadili Rais nasera zake
Ishu nikwamba VENEZUELA imekua hapa ilipo ikipitia magumu kutokana na Mfumo mbaya ama kutokana namashinikizo ya Wamagharibi ?!...