Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Tanzania na DRC Kupitia Ziwa Tanganyika (Karema-Moba Au Lagosa-Kalemie)

Sasa kalemie Kuna biashara gani pale Hadi udumbukize 40 T? Huo mji wakakaz wake awafiki 400k alafu pia tambua Congo Wana shida ya miundombinu kuunganisha Baadhi ya sehemu mfano kalemie to Bukavu Kwa Barabara ni shida hapo ongezea na Usalama Kiufupi Bora upeleke sgr Burundi ila sio kujenga daraja kwenye kina Cha 1400 M
Hii option ni more feasible and practical
 
Wakati umefika Sasa wa Serikali Kufanya maamuzi magumu Kwa kushirikiana na DRC na kuanza Ujenzi wa Daraja litakalokatisha Kwenye Ziwa Tanganyika.

Daraja Hilo kinaweza kujengwa kati ya Bandari ya Lagosa(Tzn)-Kalenie(DRC) au kati ya Bandari ya Karema(Tzn)-Moba(DRC).

Uwekezaji wa daraja ingawa utakuwa wa gharama kiasi ila ndio njia ya uhakika ya kufungua na Kuunganisha Uchumi wa Tanzania na DRC badala ya kutegemea meli za kuunga unga.

Umbali uliopo baina ya Miji hiyo hauzidi km 30 hivyo gharama za Daraja haziwezi kuzidi Trilioni 40.Kwa Uchumi wa Congo,hiyo pesa itarudi haraka sana.

Hii itakuwa ni njia fupi zaidi ya kuifikia Congo Mashariki bila kulazimika Kupitia Nchi zingine jirani au kukumbana na kikwazo Cha Ziwa.

View attachment 2971088

Aidha ujenzi huo wa daraja uende sambamba na ujenzi wa njia ya reli ya Sgr kutoka Lagosa &Karema ports-Mpanda-Inyonga-Rungwa-Kilosa Ili ikakutane na Sgr ya Morogoro -Makutopora,kama inavyoonekana hapa chini kwenye mistari ya bluu.👇👇
View attachment 2971698
My Take

Tunataka maamuzi magumu kama haya ambayo yatakuwa na faidia vizazi na vizazi kwani daraja Hilo kinaweza kuishi Kwa miaka zaidi ya 100 ambapo pesa zote zitakuwa zimerudi,na faidia Juu.

Rais Samia chukua hii itakuwa Moja ya alama kubwa ya Utawala wako ni daraja la muhimu na la kimkakati kuliko Hilo la Dar-Zanzibar
View attachment 2971911

Kwa sasa haliwezi kuwa na faida hata kidogo ni uhalibifu wa pesa, tu hizo pesa zifanyie mambo mengine tu, kwa jinsi DRC ilivyo hata mizigo ikifika MOBA, KALEMII bado kuisafirisha kuipeleka mikoa(majimbo) mingine ndani ya DRC ni mtihani kutokana na ubovu wa miundo mbinu yake, nimefanya sana biashara huko kutokea bandari ya kabwe, kalema na ikola, na volume ya biashara sio kubwa ki hivyo, sana sans ni mahindi na mchele ndio vinaenda kule. Nikatoka hapo nikaenda UVIRA nako kutoa mzigo uvira kuufikisha bukavu umbali wa km 120,unaweza ukatumia siku 2!!wewe treni ya mizigo inapata ajari wanakufa abiria 200!!Drc hadi ifunguke karibu yote ndio hilo wazo lako linaweza likawa na faida. Na mashariki mwa congo ndipi hasa kwenye biashara na ndiko kwenye changamoto za kiusalama na miundo mbinu.
 
Kuna Mpango wa kujenga reli na Barabara kutoka Kalemie na Moba to hinterland Cities za DRC na tayari vikao vya ngazi ya Mawaziri vilishaanza kukaa.
 
Na we umejuaje mambo ya ushoga maanake na we shoga.
Najalibu kukuelewesha kigoma na congo hazi match Wee Mr's.
Ndiyo maana nikasema wewe ni MPUMBAVU.Kumtambua mlemavu sio lazima uwe mlemavu,kumtambua mtu mvivu sio lazima uwe mvivu.
Kitendo cha wewe kutumia neno "mfyoo" ndicho kimenifanya nihitimishe kwamba wewe huenda ni shoga maana maneno kama hayo hutumiwa na jinsia ya kike na mashoga.
Kuhusu Kigoma na Congo kutoendana inaonyesha wewe ni bwege mmoja mwenye zero exposure maana mtu mwenye akili timamu na exposure lazima ameelewa nilichomaanisha.Lakini kwa kuwa wewe ni MPUMBAVU unafikiri tupo hapa kufanya league ya matching items kama watoto wa shule.
Ushauri wangu kwako; toka huko kwenu Rukwa maporini tembea maeneo tofauti hasa nje ya nchi,soma vitabu na itumie internet kupata maarifa ili upumbavu wako ukutoke.
Mwisho; acha tabia za kishoga(najua umenielewa)
 
Baada ya kugundua wewe ni zero mind,
Naona hunaakili kukaa kujadili mambo ya maana huwezi endeleaa na ujinga wako wakuandika walaka wa yohana.

Mfyoo ni mtu asiye na makuzi yaani mjinga.

Ukimaliza walaka wako kwa yohana endelea kuwa Boga mrs.
 
Ndiyo maana nikasema wewe ni MPUMBAVU.Kumtambua mlemavu sio lazima uwe mlemavu,kumtambua mtu mvivu sio lazima uwe mvivu.
Kitendo cha wewe kutumia neno "mfyoo" ndicho kimenifanya nihitimishe kwamba wewe huenda ni shoga maana maneno kama hayo hutumiwa na jinsia ya kike na mashoga.
Kuhusu Kigoma na Congo kutoendana inaonyesha wewe ni bwege mmoja mwenye zero exposure maana mtu mwenye akili timamu na exposure lazima ameelewa nilichomaanisha.Lakini kwa kuwa wewe ni MPUMBAVU unafikiri tupo hapa kufanya league ya matching items kama watoto wa shule.
Ushauri wangu kwako; toka huko kwenu Rukwa maporini tembea maeneo tofauti hasa nje ya nchi,soma vitabu na itumie internet kupata maarifa ili upumbavu wako ukutoke.
Mwisho; acha tabia za kishoga(najua umenielewa)
We bwege kweli unashauli mtu ambaye anajilisha humlishi!😜 eti toka maporini?
🖕🖕
Ww punguani unampangaje mtu afanye nini!.

Ivi nauli ya kwenda ata lusaka unaijua au nianze kukujulisha?.
 
Suspension bridge na mambo ya kina vinahusianaje? Labda ufafanue kihandisi na sio kistori
Kina cha kusimika nguzo bro.
Usifananishe kina cha kigogo-busisi na cha ziwa Tanganyika.
Usimikaji wa nguzo utakuaje kwa kina kirefu cha 1.4 km?
Pia kuna bonde la ufa linapita ziwa Tanganyika.
 
Kamba Hilo daraja hapa lenye km 163 kina chake hakijafikia hiyo 1.4km?

View: https://youtu.be/Ey6qfDTloLw?si=Fio3Q8867KcynYb1

Matetemeko yamekaa huko Japan na China Kila mwaka na hawajaacha kujenga miundombinu mikali sembuse Tzn ambayo Kuna dead tectonic lines?
 
Kwa sasa haliwezi kuwa na faida hata kidogo ni uhalibifu wa pesa, tu hizo pesa zifanyie mambo mengine tu, kwa jinsi DRC ilivyo hata mizigo ikifika MOBA, KALEMII bado kuisafirisha kuipeleka mikoa(majimbo) mingine ndani ya DRC ni mtihani kutokana na ubovu wa miundo mbinu yake, nimefanya sana biashara huko kutokea bandari ya kabwe, kalema na ikola, na volume ya biashara sio kubwa ki hivyo, sana sans ni mahindi na mchele ndio vinaenda kule. Nikatoka hapo nikaenda UVIRA nako kutoa mzigo uvira kuufikisha bukavu umbali wa km 120,unaweza ukatumia siku 2!!wewe treni ya mizigo inapata ajari wanakufa abiria 200!!Drc hadi ifunguke karibu yote ndio hilo wazo lako linaweza likawa na faida. Na mashariki mwa congo ndipi hasa kwenye biashara na ndiko kwenye changamoto za kiusalama na miundo mbinu.
Kwani tunajenga Kwa Ajili ya Sasa? Kwanza elea ujenzi wake utachujua si chini ya miaka 7 hapo unazungumzia around mwaka 2035 kukamilika pamoja na miundombinu husika.

Sasa bado Uchumi wa Sasa ndio utakuwa sawa na huo wa 2035? Jifunzeni kufikiria Kwa Ajili ya kesho badala ya kuwa na akili fupi kama kuku.

View: https://youtu.be/ER2i_Ys3QfE?si=0FvKKGqRziJM9NM8
 
Kina kirefu sana, 1.4Km...itakuwa usumbufu na gharama sana
Labda tuje na wazo la kuweka underground tunnel...tunatumbukia ukiibuka uko DRC
Njia zote zitatumika,China wamejenga hivyo wameanza na poles then sehemu yenye kina kirefu wakaweka tunnel maana kina Cha Ziwa sio kwamba ni uniform.

Pili umbali wa kutoa upande mmja Hadi mwingine sio zaidi ya km 35 wakati China hapo daraja lao linafiki km 165.

Daraja halijengwi Kwa mwaka mmja Bali miaka takribani 7,ukihusisha na miundombinu mingine ya kufungua upande wa DRC na Tzn inaweza chukua takribani miaka 15 ambapo tayari mahitaji ya uchumi yatakuwa makubwa so the time mradi wote unakamilika utaanza Kuzalisha immediately.

Mwisho tunaangalia faida ya miaka Mingi ijayo na sio gharama za Sasa
 
Back
Top Bottom