Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,480
- 10,387
Huyu jamaa anachukulia mambo kirahisi.Kwa urefu uliopo kuvuka ziwa kutoka kigoma hadi Congo ni zaidi ya 30km, hapo hata ukijenga suspension bridge zinahitajika pillars (piers) zaidi ya 30 kwa average span ya 1km.Suspension bridge huwa kuna nguzo kila baada ya umbali fulani. Sasa imagine nguzo ikae kwenye kina cha 1,340m hiyo ni kilomita moja kwenda chini. Na urefu wa daraja useme ni km 3 sasa utakua na nguzo ngapi? yani nguzo tu urefu wake unaweza kuwa jumla ya km 20 kwenda chiniView attachment 2973553
Kutoka chini ya maji hadi juu ni zaidi ya 1km,kutoka juu ya maji pillar moja inabidi iwe na urefu wa zaidi ya 200m.Kufikia hapo pillar moja inakuwa ndefu kuliko Burj Khalifa na kumbuka zinahitajika zaidi ya 30.
Daraja lenye pillar ndefu chini ya maji lipo Bangladesh na urefu wa pillars zake ni 127m tu,ambayo ni 1/10 ya kina cha ziwa Tanganyika.
Tunnel system is a way to go.