mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,326
- 57,127
Manufaa ni madogo.kuliko hasara.
basi yaishe mwenyekiti wa TAMWAAcha ujinga usitukane toa hojaaa mbululaaaz ww
Kwenye sigara kuna maneno,"SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO,"lakini ziko mtaani na zinavutwa.Funguka wewe.Tanzania vijana wote tunaomba tuungane na tushilikiane kuiomba serikali yetu tukufu kufatilia kwa umakini na kwa hali ya kujiridhisha na hizi betting nchini
Watu wanaibiwa sana na ni utapeli tuungane tupinge hili
Yaani full stress vijana mitaani yani wanaliwa hela alafu vijana machungu yao wanahamishia kwenye vitu vyetu vya Ndani vinaibiwa sana huu mchezo huu umeleta Negative impacts nyingi kuliko faidaTanzania vijana wote tunaomba tuungane na tushilikiane kuiomba serikali yetu tukufu kufatilia kwa umakini na kwa hali ya kujiridhisha na hizi betting nchini
Watu wanaibiwa sana na ni utapeli tuungane tupinge hili
Nakuja mkuuNjoo inbox nikufundishe