hili linawezekana lakini mwanzo wake ni kubadili fikra kwanza za watanzania
viongozi wenyewe sio mfano mzuri wa kuonyesaha ufanyaji kazi wanakua mfano mzuri wa wizi wa fedha za umma
ndio maana hata vijana wengi tumebaki tukifikiria fedha ya haraka badala ya kazi kwanza
Angalia kama SUKITA ulikua mradi mzuri sana ambao uliwapa vijana ajira pale kigogo,tabata ,buguruni na sehemu nyingine ni moja ya kiwanda cha kuzalishia kuku,ng'ombe wa maziwa na nguruwe ila waliufilisi .
turudi huku na si vinginevyo.