Serikali ichukuwe wazo la TPSF haraka

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,950
3,238
TPSF imetoa wazo zuri sana katika kikao chao na Serikali.

Vijana wanaomaliza vyuo vikuu waandaliwe ili wapate skills na wakubalike ndani na nje ya nchi.

http://ippmedia.com/sw/habari/tpsf-yapendekeza-ujuzi-kabla-ajira

--My take

Nashauri kila mhitimu wa Chuo kikuu na vyuo vya ufundi wafanye ONE YEAR Internship

Serikali itunge sheria na waajiri wote Yaani Serikali Yenyewe, Mashirika ya Serikali na Private sectors wapokee Internship (kujitolea kwa mwaka mzima) na Wanafunzi wote wapewe allowance ya usafiri, malazi na chakula...
 
Back
Top Bottom