Serikali ianze kutoa leseni za daladala luxury mijini, nauli iwe elfu Mbili. Hakuna abiria kusimama

Ni wakati muafaka kwa serikali kuanza kutoa leseni za daladala luxury ambazo zitakuwa zipakia watu level seat bila wengine kusimama.

Miji yetu Ina middle class wengi kwa Sasa ambao kupanda usafiri wa daladala au mwendo Kasi ulivyo Sasa hivi ni kuwaonea .Ndio maana usafiri wa daladala haupendwi kutumiwa hata na watu Kama wahindi na waarabu na wageni wanaotembelea nchi yetu.

Tukubali Kama Kuna madaraja kwenye ndege na daladala ziwe na madaraja.First class ziwe hizo za level seat ,third class ziwe hizo basi za mwendo Kasi na hizo daladala za mbagala na gongo la mboto ambazo hujaza watu Kama mihogo na zikipakia watu huingia Hadi kupitia madishani.Napendekeza nauli iwe shilingi elfu Mbili.
Imekaa vizuri hii.
 
Point. Middle class ya Tanzania ndo hao wamiliki wa IST na wapanda Uber halafu eti akapande Noah "Luxury"? Kwanza tabia ya Watanzania ni complex sana. Fikiria mtu anaahidi kuchangia harusi laki 5 ila analia-lia ada ya mwanae wa kumzaa
Ni kweli aisee.
Halaf tumezoea kubargain kwenye kila biashara na huduma kuanzia kwenye soko la nguo za mitumba,ununuzi wa viwanja,ununuzi wa majeneza,kununua malaya n.k.
Kwa hyo ni ngumu hata kutofautisha mwenye pesa na asiye na pesa.
Kila mahali ni kutoa lawama tu,kasoro na visingizio lukuki.
It is very funny,hata nikienda kuishi ulaya nitarudi Bongo kwa sababu nitamiss vituko Kama hivi ambavyo havipatikani nchi yoyote.
 
Ni wakati muafaka kwa serikali kuanza kutoa leseni za daladala luxury ambazo zitakuwa zipakia watu level seat bila wengine kusimama.

Miji yetu Ina middle class wengi kwa Sasa ambao kupanda usafiri wa daladala au mwendo Kasi ulivyo Sasa hivi ni kuwaonea .Ndio maana usafiri wa daladala haupendwi kutumiwa hata na watu Kama wahindi na waarabu na wageni wanaotembelea nchi yetu.

Tukubali Kama Kuna madaraja kwenye ndege na daladala ziwe na madaraja.First class ziwe hizo za level seat ,third class ziwe hizo basi za mwendo Kasi na hizo daladala za mbagala na gongo la mboto ambazo hujaza watu Kama mihogo na zikipakia watu huingia Hadi kupitia madishani.Napendekeza nauli iwe shilingi elfu Mbili.
Nunua gari yako Daladala ni Daladala tu .
 
Duh! Sikuwahi kuwaza kuwa kuna nyakati zingine huwa una akili angalau kidogo! Nitatoa sadaka kwa ajili ya tukio hili.

Back to topic, naunga mkono hoja. Tunahitaji classes kuwasukuma watu kwenda mbele. Madaraja sio dhambi, ni kichocheo cha watu kwenda mbele. Namna nzuri ya kuwafanya watu wenye magari yao wapaki nyumbani ni kuwa na USAFIRI MBADALA WENYE HADHI. Mr Kibosile na tai yake ukimchanganya na Mama Tupele na ndoo yake ya samaki waanze safari Kimara kwenda Posta, kuna mmoja umemnyima hadhi yake.
 
Mabasi ya safari ndefu yako ya luxury hakuna sababu yoyote ile ya kutokuwa na daladala luxury
 
wazo zuri hata magari madogo yatapungua barabarani,watu wahapendi kutumia elfu ishirin ya mafuta kwa siku huku anaweza lipa elfu nne au sita tu
 
Ni wakati muafaka kwa serikali kuanza kutoa leseni za daladala luxury ambazo zitakuwa zipakia watu level seat bila wengine kusimama.

Miji yetu Ina middle class wengi kwa Sasa ambao kupanda usafiri wa daladala au mwendo Kasi ulivyo Sasa hivi ni kuwaonea .Ndio maana usafiri wa daladala haupendwi kutumiwa hata na watu Kama wahindi na waarabu na wageni wanaotembelea nchi yetu.

Tukubali Kama Kuna madaraja kwenye ndege na daladala ziwe na madaraja.First class ziwe hizo za level seat ,third class ziwe hizo basi za mwendo Kasi na hizo daladala za mbagala na gongo la mboto ambazo hujaza watu Kama mihogo na zikipakia watu huingia Hadi kupitia madishani.Napendekeza nauli iwe shilingi elfu Mbili.
Umeongea kitu
 
jamaa umetoa wazo zuri sanaaaaa ila utekelezaji sasa yooooh lahaulaa
 
naunga mkono hoja. kuna watu wanatumia petroli ya 6000 kila siku, ni rahisi kupanda kwa 4000

Mkuu elfu 6 huo ni umbali mdogo sana tena kwa gari zile asizozipenda RC wetu mpendwa vinginevyo hiyo pesa haitotosha. Miji kadhaa niliyofanikiwa kutembelea Africa sijaona aina hii ya usafiri sijajua tatizo ni nini hasa. Nimeshawahi kufikiria hili jambo sana kipindi Fulani lakini nilikatishwa tamaa kwamba mwendokasi itakuwa ya status hii lakini kilichotokea wote tunakifahamu. Ndiyo maana mwendokasi imeshindwa kufikia lengo kusudiwa ambalo ni kupunguza foleni jijini kwani usafiri ule kwa sasa si rafiki kbs in fact ni mbovu kuliko daladala sema ni hilo la kutokuwa na foleni barabarani.

SUMATRA mpya ambayo hata jina sijalikariri bado huenda wakifuatwa watakuwa na majibu katika hili. Otherwise uhitaji ni mkubwa sana kwani gharama za private cars si mafuta pekee kuna mengineyo kama parking fees, usafi, maintenance na nyinginezo lukuki. Faida nyingine ni kwamba ukiwa kwenye usafiri descent unaweza kusoma kitabu, kufanya kazi kwenye laptop yako au simu na mengineyo mengi tu ambayo kwa usafiri wa sasa wa daladala na mwendokasi huwezi kufanya.
 
Huduma huendana na Bei .Mnyonge ana Bei yake na huduma inayoendana na hela Yake.Middle class wengi SI wapenda daladala hizi za Sasa hivi.Wala Bajaj.Wanapenda magari luxury yasiyopoteza muda.Luxury bus hata akipata abiria watatu anaondoa gari sii sawa na hayo ya shilingi Mia tatu nauli au Mia nne nauli yanapoteza muda mwingi vituoni.Luxury hamna.Si kila mnyonge hula hoteli ya kitalii mama ntilie anamhusu.Unategemea meneja au ofisa wa serikali apande Bajaj?
Unataka kuniambia mawaziri na wabunge wa nchi zilizoendelea wanaotumia train za public hawana uwezo? Wabunge wanatoka Edinburgh mpaka London kwa train ile ile anayopanda kajamba nani, matajiri wanapanda train toka Connecticut mpaka Manhattan na train ile ile wewe unapendekeza vitu vingine? Mmeua train zetu ambazo zilitusaidia kusafiri kwa raha, leo unapendekeza madaraja ya watu? Kweli hii ni Animal farm! All people are equal but others are more equal than the others!!!!
 
Hili wazo in zuri sana, Walio karibu na Mkuu wa mkoa Paul Makonda wamfikishie. Atalipitisha Mara moja litamjengea heshima na uamuzi wake utaleta ahueni sana kwa watu wengi.
 
Back
Top Bottom