Serikali iangalie wizi huu wa NMB

Serikali iangalie wizi huu wa NMB

matubara

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
226
Reaction score
90
Ndugu wadau, kwa watumiaji wa NMB mobile ni majanga matupu. Mathalani unapoulizia salio lako, unapolipia luku,au unaponunua muda wa maongezi, unapothibitisha kwa kuingiza '0' basi unaletewa kitu kimeandikwa EXTERNAL APPLICATION DOWN. Maana yake ni kuwa zoezi limeshindikana lakini hela yako imekatwa! Hasa sisi watumishi wa serikali tunaomba jamani serikali yetu sikivu ituondoe kwa hawa NMB na CRDB wako tayari kutupokea na hawana wizi kama huu.
 
Ukiona vijana wadogo wanaporomosha magorofa na kushindana kununua magari ya gharama hizo ndio dili zao
 
Ndugu wadau, kwa watumiaji wa NMB mobile ni majanga matupu. Mathalani unapoulizia salio lako, unapolipia luku,au unaponunua muda wa maongezi, unapothibitisha kwa kuingiza '0' basi unaletewa kitu kimeandikwa EXTERNAL APPLICATION DOWN. Maana yake ni kuwa zoezi limeshindikana lakini hela yako imekatwa! Hasa sisi watumishi wa serikali tunaomba jamani serikali yetu sikivu ituondoe kwa hawa NMB na CRDB wako tayari kutupokea na hawana wizi kama huu.

Upo serikalini lakini bado hujui kuwa mishahara ya wafanyakazi sasa inalipwa kupitia NMB na CRDB?
 
Tatizo hapo sio NMB ni mtandao wa simu ndo wanahusika...tena kama voda ndo wenzi sana ukiwa na jero wanahakikisha hadi inabaki sh 30 ndo wanakamilisha transaction #ujingaujingatu
 
Kwa CRDB hutokea sana

Na ndicho nlichomaanisha pia. WIZI MTUPU!!
Simbanking inakorofisha/imekugomea/umesahau neno la siri/huitumii tena wao wanavyeka tu makato kila mwisho wa mwezi! Ukienda kuwaona kutaka ufumbuzi ni danadana mwanzo mwisho!
 
Siku moja nilihamisha pesa (muamala) kutoka M-Pesa kwenda NMB, muamala ulifanyika, baada ya dk 40 nilirudishiwa pesa kwa sababu mtandao ulikuwa upo chini lakini gharama za kufanya muamala hazikurudishwa. Kwa kweli huduma za kifedha kwa njia ya kielektroni ni Majanga. Binafsi nitaitafuta haki yangu popote ilipo.
 
Sreikali inatamia watangaza nia sasa, Waziri mwenye dhamana ya kuibiana yuko likizo!
 
Tatizo hapo sio NMB ni mtandao wa simu ndo wanahusika...tena kama voda ndo wenzi sana ukiwa na jero wanahakikisha hadi inabaki sh 30 ndo wanakamilisha transaction #ujingaujingatu
voda wapuuzi sana, siku 1 nna shida na pesa nkahamisha toka CRDB ilikataa baada ya kujaribu zaidi ya mara 6. ikabidi nikope kesho yake ndo wanakamilisha miamala yote 6
 
Mi nikitaka kufanya muamala nnahakikisha salio sio zaidi ya sh 200, la sivo watakula yote
 
Back
Top Bottom