PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,172
Wasalaam ndugu wapendwa watu wa Mungu. Napenda kutoa maoni yangu kwa serekeli juu ya mjadala wa bunge kutokuonyeshwa live kupitia runinga zetu.
Naomba Mh Rais Aingilie kati swala hili, ukizingatia kwamba uhu ni wakati wa bunge la bajeti ya serikali bajeti ya kuwa hudumia wananchi.
Nivyema na busara kama viongozi watatambua humu himu wa kuwapatia fursa wananchi kutega masikio na macho yao kuangalia ni nini serikali imejipanga juu ya kuwa hudumia.
Ni dhana potofu kwamba tutarusha bunge kupitia runinga usiku na siyo mchana.
Kwanza niseme kwamba, usiku uwezekano wa wananchi kuangalia bunge ni mdogo sana kutokana na hali ya kimaisha.
Mchana kutwa mtu yuko kazini Akirudi jioni Amechoka, anafikiria kulala kwa ajili ya majukum ya kesho sasa hapa hilo bunge atalitazama muda gani?
Jamani hembu tuache siasa katika maswala muhimu ya ujenzi wa taifa letu.
Hapa ndipo tutamkumbuka Mh Mrisho Jakaya kikwete, Mnyonge mnyongeni Haki yake Mpeni Alitupatia wananchi fursa ya kuwatizama wa wakilishi wetu live na kujua mipango ya serikali juu ya wananchi wake.
Ni wito wangu kwa serikali ya Awamu ya 5 yenye kauli Mbiu ya Hapa Kazitu!
Sasa hizo kazitu! Tutazionaje wakati mmeminya fursa ya kuwaona Bungeni?