Serikali iajiri watu wa kada ya Maendeleo ya Jamii

mbona wizara ya Hamis KIGWANGALLAH (MD) haiajiri wahifadhi, maafisa wala maaskari wa kutosha zaidi ya kuwapa exposure wakina steve nyerere na Jb ila tumetulia tu,,, kikubwa uzima tu mengine ni batili
 
Kweli mkuu wakina jb wanakula mema huku wahifadhi wakisahaulika kabisa.
 
Unatakiwa ujue uko halmashauri kuna kundu kubwa la watumishi ambalo ni walimu hivyo basi hizo nafasi zinakuwaga zimekaimiwa na hao walimu ukienda katika kata ukitafuta afisa maendeleo kata unakuta ni mwalimu kakaimu kama kata haina miradi nk basi watendaji kata ndio wanabeba hayo majukumu

MY TAKE

Watu wenye hizo taaluma tafutanene angakieni changa moto zilizipo kwenye jamii andikene andiko tafuteni misaada endesheni shughuli zenu kama NG'os ajira za serikali mtasubili sana
 
Ndio maana, serikali inapata ugumu wakati wa utekelezaji wa mipango yake ya kijamii.

Hawatumii watu sahihi, jukumu kuu la wataalamu wa Maendeleo ya Jamii ni kutambua changamoto za kimaendeleo na kuzitafutia ufumbuzi kwa kutumia rasilimali zilipo katika jamii husika.

Unamtumiaje mtu asie na mbinu hata moja ya kutatua changamoto zilizopo katika jamii ndio aonyeshe njia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiseme hivyo mbona walimu hawakaimishwi udaktari, uwanasheria, uinjinia
 
Nataka utambue kuna taaluma zinaingiliana kwaiyo usilaumu sana, na ndio maana nikakupa huo mfano wa taluma ambazo huwezi ziingilia
Mkuu hao makaimu wanavuruga sana majukumu. Sema ndio hivyo, mkurugenzi anasave zake.

Hakuna muingiliano wa kimbinu uliopo kati ya Maendeleo ya Jamii na Uwalimu.

Ndio maana kila fani inajitegemea kiutendaji.

Afisa Maendeleo wameandaliwa kuunganisha Sera na program za sekta mbalimbali ili kuleta matokeo yaliyotarajiwa tofauti na Mwalimu, yeye yupo limited kwenye sekta ya Elimu tu.

Unamkaimishaje majukumu ya kuunganisha mipango ya sekta tofauti tofauti wakati hana ujuzi nayo?

Ndio maana, mipango mingi inakwama mkuu, mnawapa majukumu watu wasio sahihi.

Kata aliopo Afisa Maendeleo muamko wa kimaendeleo huwa ni mkubwa tofauti na sehem aliokaimu mtu asiejua A, B, C za haya mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meanwhile in Ajira portal.....
All zerooo
Screenshot_20200103-102237_Chrome.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom