nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,457
- 2,323
kaka mi hapa mwanza na kwa uwezo wangu namudu matibabu ya hospitali za serikari tu ambazo kwa hapa ni seketure hospitali ya mkoa na Bugando ambapo garama ni 50,000. kwa oparation
Pole sana kaka niliingia kwenye ibada ndo natoka. Sasa kamuone yule kijana wa Bugando Urologist ni mpole mnyenyekevu na mcha Mungu atakupangia siku yako kwa utaratibu wa General ili umudu