Serikali iache usanii, makosa ya makonda hayahusiani na vita dhidi ya Madawa

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
1,298
Haya mambo ya kulindana kwenye mambo nyeti yanaleta shida sana.

Hivi uanwezaje kusema eti makonda wanaomuandama in wauza madawa?

Hebu kama una ufahamu mzuri jiulize haya maswali.

Mosi; Je ni wauza madawa walisababisha aitwe Paul Christian Mayanja no Makonda badaka ya Daud Albert Bashite?

Mbili; Je ni wauza madawa walisababisha Makonda anunulie mpenzi gari iliyozidi umri na kipato chake?

Tatu; Je ni wauza madawa wamesababisha Makonda avamie kituo cha clouds akiwa na silaha za kivita? Na maswali mengine mengi.

Hebu tuacheni unafiki maovu ya makonda hayahusiani na vita dhidi ya madawa na wala hakuna MTU yeyote Wa madawa anashindana naye, ni wakati tu umefika Wa yeye kuonyesha hasa ranging zake ambazo tulikua hatuzijui.

Makonda alisema katik maisha yake kafanya mengi. Je, hajawahi kweli kujihusisha na kabali?
 
Wauza madawa na wanufaika wa madawa , komaeni ila mjue , HII NCHI MTAIKIMBIA, JPM HANA MCHEZO

NA 2020 KAMA KAWA USHINDI NI CCM

UPINZANI UTAENDELEA KUSINDIKIZA TU, MAANA HAMJITAMBUI
 
Wauza madawa na wanufaika wa madawa , komaeni ila mjue , HII NCHI MTAIKIMBIA, JPM HANA MCHEZO

NA 2020 KAMA KAWA USHINDI NI CCM

UPINZANI UTAENDELEA KUSINDIKIZA TU, MAANA HAMJITAMBUI

Kila hoja ikiletwa mnadai upinzani, sasa hapo mtoa hoja kasema wapi kuwa yeye ni mtu wa siasa?
So Nape naye ni mpinzani kwa sasa?
Leta hoja acha ubashite,
Pia mkumbushe kuwa bado vyeti hajaleta.
Mwisho sijui bado unafanya nini humu ilihali mkulu kasema mpuuze habari za mitandaoni mkafanye kazi.
 
Back
Top Bottom