Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,108
SHULE NI BURE HADI FORM FOUR. ! GHARAMA ZA SHULEVZIMEBEBWA NA SERKALI. ILA SIYO ZW KUVAA . KULA MADAFTARI NA KUSAFIRI.. MTOTO NI WAKO ULIYEMZAA. NSNI AKUBEBEE ZOTE WAKATI ANABEBA JINA LAKO ?
Naona unamuonea wivu Joyce Kiria, kama vipi tumia huu uzi kuelezea hisia zako kwa mume wa JoyceSasa ndo umeandika nini? Au Joyce Kiria kakukera leo? Maana sijui kama umeelewa nini umeandika na nini kinaendelea. Hasira zako na mkeo usizihamishie kwenye jukwaa. Unavuruga
Umeandika kwa herufi kubwa (msisitizo), kumbe ni matope tu!SHULE NI BURE HADI FORM FOUR. ! GHARAMA ZA SHULEVZIMEBEBWA NA SERKALI. ILA SIYO ZW KUVAA . KULA MADAFTARI NA KUSAFIRI.. MTOTO NI WAKO ULIYEMZAA. NSNI AKUBEBEE ZOTE WAKATI ANABEBA JINA LAKO ?
Kwani kwenye shule za kutwa wanapika chakula cha mchana? Kama kinapikwa, si mkakati wa serikali bali ni makubaliano baina ya shule na wazazi. Nalo linakubalika. Ila kwa wale wanafunzi wa bweni, bajeti ya chakula ipoLabda nikulize wazazi hawatachangshwa fedha ta chakula ,hasa kwa shule za kutwa ambapo wanakula shulen mchana?? Naona hapo kwenye maelezo ya wizara hakuna mahali ameandika kuhusu chakula cha mchana kwa shule za kutwa
Juzi nimempeleka mwanangu kimbwe shule kuchukua fomu ya kujiunga na shule ya kata.....mkuu wa shule kaniambia kuwa waraka walio letewa hauonyeshi fedha za chakula kwa wanafunzi wa shule za kata( day schools) hapa sijailewa wizara nasubiri mwanangu kimbwe anze shule tarehe 13 nitakuja kuwaeleza hapa kama kuna elimu ya bure au la!
Kavurugwa huyo. Kwa vile yeye ni gumegume ndo maana anategemea kila kitu wafanye serikali.Huyu akili zake zimepata mvurugo leoo! yaani anataka elimu bure basi mpaka vyupi wanavyovaa shule watoto wao serikali inunue ha ha haaa!
We tafuta mtu akusaidie kulea huyo mtt wako..Naona anakushinda...Juzi nimempeleka mwanangu kimbwe shule kuchukua fomu ya kujiunga na shule ya kata.....mkuu wa shule kaniambia kuwa waraka walio letewa hauonyeshi fedha za chakula kwa wanafunzi wa shule za kata( day schools) hapa sijailewa wizara nasubiri mwanangu kimbwe anze shule tarehe 13 nitakuja kuwaeleza hapa kama kuna elimu ya bure au la!
Poleni sana. Mirija yenu ya kifisadi imekatwa. Mlizoea kutuibia sisi wazaziHuyu jamaa kafanya upembuzi yakinifu unless you are mad you can't ignore the fact. Shuleni wametakiwa kuandaa badger za shule kwa mwaka kiukwel serikali inapaswa ichukue muda kwenye kuandaa mipango Kazi yake itakayorandana na recently research finding. Hzo ada za elfu 20 na sabini hats form ya kujiunga na chuo hununui. Work as usual!!