Serikali hii ni kichwa cha mwenda wazimu?

Serikali hii ni kichwa cha mwenda wazimu?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
Mzee Ruksa aliwahi kuwaambia Taifa Stars kuwa wanafungwa mno mechi za kamataifa kiasi kwamba watu wa nje kutuona Tanzania kama kichwa cha mwendawazimu. Hivi na serikali ya CCM inayoongozwa na bwana JK sio kichwa cha mwendawazimu kweli?
 
hata matatizo yetu ba familia zetu tutazihamshia kwa serikali ya JK safari hii
 
Serikali yetu haina la maana wanalotufanyia wananchi - maisha bora kwa kila mtanzania; je ili limetekelezwa? Kwa nini wafadhiri wamepunguza misaada? Uenaendaje kukagua tatizo la maji Kimara ambalo unalijua miaka nenda rudi? Unakusanyaje kodi kinyume na malengo? Unawezaje kuzuia mgombea binafsi? Wameshindwa kushughulikia rushwa, elimu bora. Shilingi kila siku inaporomoka. Matatizo yetu watanzania, mpaka ndani ya familia zetu ni serikali; mfano, hakuna viwanja vinavyopimwa vya kutosha hivyo watu kujenga kiolela hivyo ni vigumu kupata huduma kama maji, kodi tunalipa lakini hakuna huduma za kukusanya taka kutoka katika kila nyumba, watoto wanakuwa wezi kwa sababu elimu ni ya ovyo. Kwa kifupi soma Government promises kilichochapishwa na HakiElimu utaona uwendawazimu!
 
sisi ndo vichwa vya wendawazimu,maana ndo tunaiweka serikali na bado inapotokea wakaharibu hatuonyeshi kufanya lolote nafikiri tutakapo kili udhaifu wetu tutakuwa tayari tumejitambua hivyo kuelekea kupata ufumbuzi wa matatizo yanayotukabiri.
 
Back
Top Bottom