Serikali hii ishafilisika

Serikali hii ishafilisika

MAKUNJA1

Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Mwaka jana serikali iliidhinisha katika bunge la budget fedha za wizara ya elimu haswa mpaka ile ya mafunzo kwa vitendo kwa walimu wa diploma.Wonderful enough mpaka leo walimu sisi,kwa mujibu wa btp iliyoanza tarehe 03 mwezi huu wa tatu tumepewa hela za siku kumi tu badala ya 46 na zilizobaki till this time ni Mawenge!shame on this Poor leading government.
 
Poleni sana, efd wafanyabiashara hawaitaki, bunge la katiba hela haiwatoshi, changamoto ni nyingi lakini usikate tamaa
 
poleni sana walimu, ombeni kwa MUNGU ipo siku mtalipwa, hakuna linaloshindikana mkimuomba MUNGU.
 
Pesa imeelekezwa kwenye Bunge la Katiba kwa ajili ya kununua ile fimbo ya Spika.
 
Serikal ya ccm inawadharau sana walimu, wakati walimu ndo kila kitu maana hata huyo rais kafundishwa na walimu,
Halafu ndo wanadharaulila kwl serekal.
Walimu kuwen na mshikamano tanzania nzima, gomen hata mwezi naamin watakopa hata nje,
Mbona wabunge wakikohoa kidogo tu wanaongezwa maposho kibao,
Ifikie mahala walimu muungane kudai haki zenu,
DHAMBI KUMBWA KULIKO ZOTE DUNIAN NI UOGA!!
 
regardless ya hayo yote kupitia kwa serikali ya JK ndo hata hao walimu kwa maelfu wamepata ajira. kabla yake walimu waliokuwa wanahitimu walikuwa 800 tu kwa mwaka. hongera JK pamoja na mapungufu/changamoto zilizoko mbele yako.
 
Serikal ya ccm inawadharau sana walimu, wakati walimu ndo kila kitu maana hata huyo rais kafundishwa na walimu,
Halafu ndo wanadharaulila kwl serekal.
Walimu kuwen na mshikamano tanzania nzima, gomen hata mwezi naamin watakopa hata nje,
Mbona wabunge wakikohoa kidogo tu wanaongezwa maposho kibao,
Ifikie mahala walimu muungane kudai haki zenu,
DHAMBI KUMBWA KULIKO ZOTE DUNIAN NI UOGA!!
walimu hawawezi hata siku moja kufanya maamuzi hayo sababu kwanza niwaoga sana na hawazijui haki zao na pia walimu baadhi yao wana unafiki sana na kupenda kujipendekeza
 
kikwete jana angeweza kupanda basi la shibib kutoka dar kwenda dodoma angeokoa zaidi ya mil 5 za ndege yake binafsi kumpeleka dodoma.Just imagine ni waalimu wangapi wangeliwa hiyo hela kwa vitendo. nadhani hela wanayodai kwa mmoja ni kama laki 2.
 
tp umeona hilo tu je hiyo miposho wanayopokea huko bunge la katiba wangelipwa laki mbili kwa siku afu hyo laki nyingine ikaenda kwa waalimu bt hilo wanajifanya hawalion hatarii sana
 
Mwaka jana serikali iliidhinisha katika bunge la budget fedha za wizara ya elimu haswa mpaka ile ya mafunzo kwa vitendo kwa walimu wa diploma.Wonderful enough mpaka leo walimu sisi,kwa mujibu wa btp iliyoanza tarehe 03 mwezi huu wa tatu tumepewa hela za siku kumi tu badala ya 46 na zilizobaki till this time ni Mawenge!shame on this Poor leading government.

Watumishi wa umma watamkumbuka sana Mkapa pamoja ya mabaya yake yote. Alijua fedha za serikali na maana ya budget. Serikali ya awamu hii ya ------ haijui maana ya budget. Pesa inatumika kama ya mtu binafsi. Mishahara bado haitoshi lakini hata hicho kidogo kupata ni songombingo maana kwa sasa tarehe ya mshahara haijulikani. Labda wanajeshi ndio wanapata kwa wakati. Kama kwao inawezekana kwa nini kwa wengine iwe taabu wakati wote ni watumishi wa umma?

Hivi safari zake mpaka sasa zimegharimu kiasi gani ? Amewapita wote waliomtangulia na sidhani kama kuna Rais ajaye atamfikia hata nusu yake. Nusu ya gharama za safari zake nje ya nchi zingejenga shule na hospitali ngapi? Zingelipa walimu na madaktari wangapi kwa muda gani? Zingenunua madawa, vitabu kiasi gani? Zingesaidia kwa kiasi gani bodi ya mikopo?

Nina ukakika majibu ya maswali haya yataanza kupatikana kuanzia 2016
 
Poleni sana, efd wafanyabiashara hawaitaki, bunge la katiba hela haiwatoshi, changamoto ni nyingi lakini usikate tamaa

Nimecheka sana! hongera kwa kumtia moyo kijana wa diploma ya ualimu aliye zoa pesa za siku kumi tu kati ya siku 56!

Ndugu MAKUNJA1 chukua ushauri wa Mh. Ndumba hapa..
 
Last edited by a moderator:
Mwaka jana serikali iliidhinisha katika bunge la budget fedha za wizara ya elimu haswa mpaka ile ya mafunzo kwa vitendo kwa walimu wa diploma.Wonderful enough mpaka leo walimu sisi,kwa mujibu wa btp iliyoanza tarehe 03 mwezi huu wa tatu tumepewa hela za siku kumi tu badala ya 46 na zilizobaki till this time ni Mawenge!shame on this Poor leading government.

Pole,Kingunge alimuuliza Senetor Wakko kama kuna Katiba humu duniani inayozungumzia namna ya kuleta maendeleo siyo kama hizi zetu Waafrika wa kusini mwa Sahara ambapo Katiba zetu zinazungumzia zaidi namna ya kupeana uongozi basi.Ukiifikiria vizuri kauli yake utapata jibu.
 
Back
Top Bottom