Serikali: Hatujaapisha viongozi Migombani

Serikali: Hatujaapisha viongozi Migombani

Huu uhuni wa kuapishana kinyemela inabidi ukemewe kwa nguvu zote utaipeleka nchi kwenye machafuko.

Tamko hili ungeligeuzia kwa mkurugenzi anayecheza mchezo wa kitoto wakati wapiga kura wanajua waliye mchagua ndiye anatakiwa kuwatumikia. Tena ungemwambia atasababisha machafuko yatakayo toa fundisho kwa nchi nzima kiasi kwamba siku zijazo kila jimbo litajiandaa kuapisha washindi wao bila kuwashirikisha wakurugenzi
 
Mkuu. Kwani serikali ilijiweka yenyewe madarakani?Si wananchi hao hao ndio waliamua hawa wawe viongozi wetu?
Mwananchi ni mwajili wa kiongozi, kama wewe usipotimiza wajibu wako kazini, mwajiri wako atatafuta mbadala wako kwenye position yako. Huu mfano uko simple na nadhani utaelewa.
 
Back
Top Bottom