Serikali haramu inavyojihalalisha kibabe

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,946
Reaction score
38,656
  1. Mmeteka watu
  2. Mnatesa na kulawiti Watanzania wenzenu
  3. Mnaua Watanzania kupitia Wambura na magaidi wenzake
  4. Mmechezea sheria inayounda Usalama wa Taifa na kuifanya taasisi inayodhibiti wananchi badala ya jukumu lake la kisheria na kikatiba
  5. Mmeunda Tume haramu ya uchaguzi
  6. Mmeharibu mfumohaki wote
  7. Mmeua demokrasia na kuharibu uchaguzi
  8. Oktoba 29+ mmefanya mauaji ya halaiki na kuharibu miili ya wahanga
  9. Mmejiapisha jeshini
  10. Mmegeuza vyombo vya ulinzi na usalama kuwa KILLING MACHINERY
  11. Mmeteuana koo zenu kila nafasi za juu za utawala
  12. Na kadhalika...

Viongozi Ninyi ni haramu kuendelea kutawala Tanzania.

Desemba 19 tuna jambo letu
 
We don't play someone's game
Hiyo tarehe wapeleke familia yako

Keyboard Mnazidi kupoteana
 
  1. Mmeteka watu
  2. Mnatesa na kulawiti Watanzania wenzenu
  3. Mnaua Watanzania kupitia Wambura na magaidi wenzake
  4. Mmechezea sheria inayounda Usalama wa Taifa na kuifanya taasisi inayodhibiti wananchi badala ya jukumu lake la kisheria na kikatiba
  5. Mmeunda Tume haramu ya uchaguzi
  6. Mmeharibu mfumohaki wote
  7. Mmeua demokrasia na kuharibu uchaguzi
  8. Oktoba 29+ mmefanya mauaji ya halaiki na kuharibu miili ya wahanga
  9. Mmejiapisha jeshini
  10. Mmegeuza vyombo vya ulinzi na usalama kuwa KILLING MACHINERY
  11. Mmeteuana koo zenu kila nafasi za juu za utawala
  12. Na kadhalika...

Samuya and Co. Ninyi ni kundi haramu kuendelea kutawala Tanzania.

Desemba 19 tuna jambo letu
Jibu moja na tuiambiye dunia kwa pamoja
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
  1. Mmeteka watu
  2. Mnatesa na kulawiti Watanzania wenzenu
  3. Mnaua Watanzania kupitia Wambura na magaidi wenzake
  4. Mmechezea sheria inayounda Usalama wa Taifa na kuifanya taasisi inayodhibiti wananchi badala ya jukumu lake la kisheria na kikatiba
  5. Mmeunda Tume haramu ya uchaguzi
  6. Mmeharibu mfumohaki wote
  7. Mmeua demokrasia na kuharibu uchaguzi
  8. Oktoba 29+ mmefanya mauaji ya halaiki na kuharibu miili ya wahanga
  9. Mmejiapisha jeshini
  10. Mmegeuza vyombo vya ulinzi na usalama kuwa KILLING MACHINERY
  11. Mmeteuana koo zenu kila nafasi za juu za utawala
  12. Na kadhalika...

Viongozi Ninyi ni haramu kuendelea kutawala Tanzania.

Desemba 19 tuna jambo letu
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
kw sasa sahahu kabisa huo mchezo na Kama mmekula hela zirudisheni haraka
Inapendeza sana unavyokurupuka bila kujisitiri.

Bilioni tano kwenye simu inakaaje hapo?

Subiri mwali usituuzie uoga
 
Back
Top Bottom