Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Kitu nilicho kifahamu ni kuwa serikali haikuta kuona chama chochote cha kisiasa kikijihusisha na mchango wa wafiwa. Kwa maelezo ya meya Lazaro kuwa aliwaalika viongozi wa kidini kuhudhuria shughuli za kukabidhi ule mchango kwa wafiwa alishindwaje kualika kiongozi yeyote wa serikali hata kama mkuu wa wilaya naye ahudhurie.
Ni aibu kubwa kuona meya wa arusha akitumia msiba huu kwa minajili ya kujinufaisha kisiasa badala ya kuwafariji wafiwa.
Kwa muda huu kuekekea 2020 tutii amri serikali iliyopo madarakani badala ya kila saa kuilaumu.