Msae-Marangu
Member
- May 28, 2023
- 70
- 110
Wanasema mwenge ni moja ya tunu za taifa!
Lakini kiukweli hata Mimi huwa napinga sana habaru za mwenge! Inawezekana kweli mwenge ulikuwa na umuhimu kipindi hiko, lakini kwa wakati huu, hii desturi iangaliwe upya!
Hasa kutokana na gharama kubwa sana ya kuukimbiza huu mwenge, kuanzia mafuta ya gari, mwenge, kugharamia watu wanaoshiriki, chakula, malazi, na maturubai, posho nk
Twende na wakati , kila zama na mambo yake! Ikionekana mwenge Leo sio kitu Cha lazima Sana, Basi nashauri MWENGE UWEKWE MAKUMBUSHO YA TAIFA.