Serikali amemharibia Mbowe, na Mbowe ameiharibia Serikali

Amepata aibu kubwa Sana asa Arusha
Mkuu wewe umwongo kama tumba mbichi....🤣

Arusha imepokea mradi wa BILIONI 520 kwa chereko.....

Ulilala toka majuzi ndio unaamka muda huu?!!! 🤣🤣

Siempre JMT
 
Mkuu wewe umwongo kama tumba mbichi....[emoji1787]

Arusha imepokea mradi wa BILIONI 520 kwa chereko.....

Ulilala toka majuzi ndio unaamka muda huu?!!! [emoji1787][emoji1787]

Siempre JMT
Nionyeshe picha ya mafuriko ya Hangaya Arusha, hatosahau [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Tulia Taga ushaenda Kisongo kutoa salama[emoji1]
Uendelee hivyohivyo kufurahia WAFUNGWA.....

Nasemaje HUMU NDANI JF uendelee na hulka hiyohiyo.....

Kuna leo na kesho.....

Jela haina MWENYEWE....

Mwenyezi Mungu azidi kutupa afya na uhai mrefu aaamin🙏
 
Samia Ahaminik wkt vkwazo vnaendelea kutolewa huko watu wanasafir na kapewa mkopo na IMF. Unaposema m2 kaharibikiwa angalia na kiwango cha kuumia ndug
 
Unadhani why hataki kuendelea na vita? Unajua $1tr, Ni bajeti ya Africa nzima kwa miaka 5
Yaani unaniuliza swali juu ya swali langu?!!

Hilo ndilo jibu CRITICAL?!!

Ninyi misukure ya Mbowe huwa anawalisha unga wa nafaka aina gani hapo darini Mtaa wa Ufipa?!!🤣🤣🤣
 
Uendelee hivyohivyo kufurahia WAFUNGWA.....

Nasemaje HUMU NDANI JF uendelee na hulka hiyohiyo.....

Kuna leo na kesho.....

Jela haina MWENYEWE....

Mwenyezi Mungu azidi kutupa afya na uhai mrefu aaamin[emoji120]
Ntazidi kufurahia maana Sabaya alitesa Sana watu,narudia ntafurahia Sana kwa watesi wetu kufungwa
 
Yaani unaniuliza swali juu ya swali langu?!!

Hilo ndilo jibu CRITICAL?!!

Ninyi misukure ya Mbowe huwa anawalisha unga wa nafaka aina gani hapo darini Mtaa wa Ufipa?!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anatulisha Sabaya [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mkuu wewe umwongo kama tumba mbichi....🤣

Arusha imepokea mradi wa BILIONI 520 kwa chereko.....

Ulilala toka majuzi ndio unaamka muda huu?!!! 🤣🤣

Siempre JMT
Mnajipendekeza ndo maana nyomi ya chekechea .....watu tunapiga bia tu
 
Mkuu wewe umwongo kama tumba mbichi....🤣

Arusha imepokea mradi wa BILIONI 520 kwa chereko.....

Ulilala toka majuzi ndio unaamka muda huu?!!! 🤣🤣

Siempre JMT
Jibu hoja twende sawa!Kasikazini Samia amepata aibu ya watu kutokuhudhuria mkutano wake kama mkuu wa nchi?

Ni Kweli watu walikuwa wachache?
 
Sawa acha tuendelee tuone aliyeharibikiwa....muda utasema. Kazi iendelee
 
Hakuna aliyepambana na Mbowe akabaki salama kange lugola chali, sabaya chali, jiwe chali list inaendelea.
 
Kwani si mnapumua sasa au?

Baada ya mbaya wenu kufariki bado mnalialia tu?
Tunapumua safi sanaaa funzo mlipate ninyi chawa wake ambao hamuamiani kama kaenda anaelialia ni nyinyi eti mwamba wa AFRIKA labda ya madikteta vilio vyetu siku zote ni machozi ya furaha kwamba Mungu ametuona na kutuondolea dubwana mwovu yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…