Serikali amemharibia Mbowe, na Mbowe ameiharibia Serikali

Hatutaki msamaha kwa ushahidi wa Kingai na Mahita, eti wamtie hatiani, mkimtia hatia hukumu ni kunyongwa, wamnyonge sio msamaha
 
Huyo yupo kwenye interest zake/zao na Africa.
 
Kweli kwa hii kesi, hata mie sina furaha nae hata kidogo, licha ya kufanya mengi mazuri kipindi kifupi, ila kuonea watu sipendi hata kidogo, hivyo naangalia tu, kwa kuwa kama binadamu wa kawaida uwezi penda mtu kuonewa hata kama si jamaa yako!
Yaani na Mimi nilimpenda Samia, Ila kupitia hii kesi sitaki ata kumsikia
 
Cheki taga masikini unawazungumzia Tulban, marekani imetumia 2tr dollars uko Afghanistan, unataka wafanyeje?? mataga tuliza kende
 
Cheki taga masikini unawazungumzia Tulban, marekani imetumia 2tr dollars uko Afghanistan, unataka wafanyeje?? mataga tuliza kende
Kwako hizo 2tr dollars ndio kiasi kikubwa kwao na kushindwa KUENDELEA kutumia hata 1 tr dollars NYINGINE?!!!

Umeamua kujifungia ndani ya BOX na kuridhika tu na majibu hayo mkuu?!!! 🤣🤣🤣
 
Yaani na Mimi nilimpenda Samia, Ila kupitia hii kesi sitaki ata kumsikia
Kwani yeye amekuambia anataka kukusikia wewe kidada cha hapo mtaa wa ufipa?!!!🤣🤣

ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO
 
Kwako hizo 2tr dollars ndio kiasi kikubwa kwao na kushindwa KUENDELEA kutumia hata 1 tr dollars NYINGINE?!!!

Umeamua kujifungia ndani ya BOX na kuridhika tu na majibu hayo mkuu?!!!
Unadhani why hataki kuendelea na vita? Unajua $1tr, Ni bajeti ya Africa nzima kwa miaka 5
 
U
Uandishi wako ni ngumu kuelewa una maanisha nini,
Rudia kusoma urekebishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…