Tafuta zifuatazo
1.Athena
2.Heartless city ni nzuri ya madawa ya kulevya mtandao wao ulivyo mgumu kuutelekeza kama bongo tunavyoangaika nao na misamaha kwa watuhumiwa (upelelezi sio ujasusi)
3.Aris
4.Homeland security
5.Conviet affair ni siasa lkn
6.King to heart haina ujasusi ila inaonyesha political influence kwenye nchi changa za korea kusin na kaskazin na vitisho vya marekan