Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Habari Wadau .
Kwa wale wapenda movie/series.
Je ni series gani nzuri naweza kuangalia yenye mashiko ,kusimumu zaidi kusikitisha ,na iwe ya ukweli ,yaani iwe imebase kwenye reality story ! .
Thank you
Habari Wadau .
Kwa wale wapenda movie/series.
Je ni series gani nzuri naweza kuangalia yenye mashiko ,kusimumu zaidi kusikitisha ,na iwe ya ukweli ,yaani iwe imebase kwenye reality story ! .
Thank you
Jumong is my number one. Naweza sema inaendana na story yetu ya zanzibar baada ya nchi ya geguryo kupotea na mateka wake kua watumwa kwa jeshi la khan. Namaanisha baada ya nchi ya zanzibar kupata uhuru na viongozi wote kua watumwa wa tanganyika. Wanatokea watu kama kina haemosou ndani ya ule mchezo kutaka kuirudisha nchi yao ya geguryo lakini wanashindwa. Nawafananisha na watu kama Abdu jumbe, uamsho waliokuja kudai madaraka yao ya zanibar yao pia wameshindwa kutokana na vita dhidi ya nyerere na ccm ambao ni khan. Sasa tunamsubiri jumong aje kutukomboa. Suali langu ni kujiuliza nani atakua JUMONG kwa zanzibar
Kama ni swali katika mtihani na msahishaji ni mimi nakupa maksi zote.