kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,419
- 1,981
Hawarudiani haoOoh. Jared,hivi unahisi watarudiana kweli?? Kale kademu ka Jared kabaya sio kama micky
Hawarudiani haoOoh. Jared,hivi unahisi watarudiana kweli?? Kale kademu ka Jared kabaya sio kama micky
Soon nitarudi tena.Uliususa sana mkuu!
Unakaribishwa sanaSoon nitarudi tena.
Umeona episode ya leoHawarudiani hao
Acha utani mimi napita kila siku humu sikuoniWewe ndio umepotea.
Nimeona aisee duuh, ila yule mwanamke sijui Cox sijampenda kumbe ni ka snitch!Umeona episode ya leo
Ni tofauti na ile Narcos inayomzungumzia Escobar au ni mwendelezo wake tu?! Sounds like yale mambo ya 24, 24 Legacy, 24 Another Day lakini zote ni 24 tu!Kuna series mpya imetoka friday inaitwa narcos mexico wameachia season 1 yote
Ni tofauti na ile Narcos inayomzungumzia Escobar au ni mwendelezo wake tu?! Sounds like yale mambo ya 24, 24 Legacy, 24 Another Day lakini zote ni 24 tu!
Hiki ndicho nilitaka kufahamuNarcos zote zina watu tofauti ila lazima zinamhusisha escobar maana yeye ndio alikuwa supplier mkubwa
Hii inahusu bangi then wanaanza kupitiaha mzigo wa cocaine wa medelin cartel na cali cartel kupitia mexico kwnda USA
Iko vizuri
Yawezekana si unaona sucrifice anazozifanya JaredOoh. Jared,hivi unahisi watarudiana kweli?? Kale kademu ka Jared kabaya sio kama micky
Umepotea sanaNipo ha ha ha ha ha
Karibu tenaSoon nitarudi tena.
Karibu mkuuHii Last Ship , nimeanza kucheki jana baada ya kumaliza Seal Team ,
Aisee ni nzuri balaa
Nimepiga S1 -E1-E3
Karibu tena
Inahusu nini?Nimeanza kuangalia house of cards .... ni nzuri sana
The 100 sijaielewa mkuuVikings
The wire
Breaking bad
The 100
Game of thrones
Zipo nyingi sana mkuu