Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,058
Nini Hiyo weweeee??? Wisdom hata episode ya 12 bado wewe useme unayo ya 56!!!???Mi nipo epsode ya 56
Nini Hiyo weweeee??? Wisdom hata episode ya 12 bado wewe useme unayo ya 56!!!???Mi nipo epsode ya 56
Genre???Angalia series mpya inaitwa MCMAFIA nzuri sana
Ally Nadim na Maximilian jomonii. Hivi kale kadada kanaitwa nani nimekasahau mie...Kwangu ndo series bora kabisa ya comedy
Ally nadim
Ranjit singh
Jeremy brown
Maximillian papendelouus
Taro Nagasumi
Suli
moja kati ya series nzuri za mwaka huuAngalia series mpya inaitwa MCMAFIA nzuri sana
yule dada ni kichwa,ndio founder sopheI love Jeffrey, simpendi Sara...mbaya
12 episode ishatoka,inasikitisha abt ochoa,it`s too sadNini Hiyo weweeee??? Wisdom hata episode ya 12 bado wewe useme unayo ya 56!!!???
Hamna mkuu namkomoa huyu jamaa2.....series yenyewe siijui....Nini Hiyo weweeee??? Wisdom hata episode ya 12 bado wewe useme unayo ya 56!!!???
mind your language nilikufa mbavu mie
Yaani ngumu kweli. I love mind your language na everybody hate chrisHahah too hard kupata tena comedy series kama zile....
Thriller, action,dramaGenre???
Ngoja isogee sogee e3 saivAngalia series mpya inaitwa MCMAFIA nzuri sana
Naona ndo iko e2Tafuta The Chi ... Itakufaa kwa kuanzia mwaka...
Hiyo kwanza mimi mwenyewe sitazami hata kwa bahati mbaya.Etiii GOT mamy.. Maana wewe ndio tunashauriana series,ndio nikajisema hata anishauri espy sitoitazama,haijaniingia tu.
Yaani ngumu kweli. I love mind your language na everybody hate chris
Ahaa wazee wa piep piper kila siku majanga aisee silicon valley ni the best everrrkuna nyingine inaitwa "Everybody loves Raymond ila tafuta "silicon valley" too damn good ni ya kisasa kidogo inahusu IT na social networking ila wana vituko sana
Ha ha ha ha.eti Hata kwa bahati mbayaHiyo kwanza mimi mwenyewe sitazami hata kwa bahati mbaya.