streat Anthem
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 395
- 475
Habari za muda huu? Nimejiuliza kuhusu series zinazotoka Korea hasa kusini,zimezagaa sana hapa nchini kwetu hadi watoto wadogo wanazijua. Lakini kwenye pita pia zangu sijakutana na Series za North Korea au kukuta watu wakizizungumzia, tatizo ni nini?