Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,722
- 45,128
Hiyo canal mpaka uende kwa wakala hawapo ki officialNashindwa kuelewa kwa nn kuna ving'amuzi kama hiki lakini watu wanakazana na Dstv na Azam?
Tatizo liko wapi?
Pengine elimu haijawafikia vizuri, hivyo kwa uzi kama huu tunajitahidi kuwashtua wadau wenzetu wanamichezo hasa wapenda soka, hata wapenda NBA, Formula 1, nkNashindwa kuelewa kwa nn kuna ving'amuzi kama hiki lakini watu wanakazana na Dstv na Azam?
Tatizo liko wapi?
Mtaka cha uvunguni...Hiyo canal mpaka uende kwa wakala hawapo ki official
Mbona vinapatikana tu mkuuCanal nzuri sana sema upatikanaji wake but what i know bei yake ni 175000
Search humu kuna threads mbalimbali za wanaouza hiyo kituNaitahi wakara mzee nampataje nashidah n hii
Mbona vinapatikana tu mkuu
Tatizo ni kwamba hata mdau kama ww hutupi maelezo ya upatilanaji wake na bei yake..Pengine elimu haijawafikia vizuri, hivyo kwa uzi kama huu tunajitahidi kuwashtua wadau wenzetu wanamichezo hasa wapenda soka, hata wapenda NBA, Formula 1, nk
Nashindwa kuelewa kwa nn kuna ving'amuzi kama hiki lakini watu wanakazana na Dstv na Azam?
Tatizo liko wapi?
Nashindwa kuelewa kwa nn kuna ving'amuzi kama hiki lakini watu wanakazana na Dstv na Azam?
Tatizo liko wapi?
Tatizo ni kwamba hata mdau kama ww hutupi maelezo ya upatilanaji wake na bei yake..
Shida ndo inapoanzia na mupo wengi
Nadhani lugha sio tatizo maana ukitumia kama Weeek 3 utamaster baadhi ya vitu muhimu!Kwa sababu programu nyingi zilizopo huko ni kwa lugha ya Kifaransa...
Na hakuna TV za kiswahili swahili huko sijui kina ITV, Citizen n.k
Watakuzungusha balaaa yaan sijui kwa nn???Tupe mchakato kamili mpaka unachek
Akikupa unitonye?Wapi mkuu?kama unajua mtu anayeuza hivi ving'amuzi naomba namba yake
Sio elimu mkuu wao wenyewe wenye visimbuzi hawajawa rasmi kufanya shughuli zao bongo ni kama kwése tuPengine elimu haijawafikia vizuri, hivyo kwa uzi kama huu tunajitahidi kuwashtua wadau wenzetu wanamichezo hasa wapenda soka, hata wapenda NBA, Formula 1, nk
Hivi mkuu hiki kisimbuzi kina channels zinazoonyesha movies (hollywood) kwa kiingereza mkuu na sio mambo ya lugha za kifaransa.Hatimae wale wadau wa Canal Sport, kilio chenu kimesikika sasa ligi ya Serie A itaanza kuonekana katika king'amuzi cha Canal Sport kwanzia mwezi huu wa 8 tarehe 24.
Kupitia Canal Sport sasa utapata ligi zifuatazo mubashara
Uefa Champions League
Uefa Europa League
EPL
La Liga
Serie A
Ligue 1
CAF Champions League
Tunafaidi uhondo wote huo kwa Tshs. 40,000/= (Elfu Arobaini) kwa mwezi tu. Tafuta wakala wake ufaidi uhondo, huko kwengine unaibiwa, toroka uje!
NB:
Mimi nimewashtua tu wadau wa soka, mimi siuzi hivyo ving'amuzi, nimeamua kutumia kauli mbiu, Kizuri kula na mwenzako.
View attachment 1178239