Serie A ndani ya dikoda ya Canal+ sport

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,508
44,620
Hatimae wale wadau wa Canal Sport, kilio chenu kimesikika sasa ligi ya Serie A itaanza kuonekana katika king'amuzi cha Canal Sport kwanzia mwezi huu wa 8 tarehe 24.

Kupitia Canal Sport sasa utapata ligi zifuatazo mubashara
Uefa Champions League
Uefa Europa League
EPL
La Liga
Serie A
Ligue 1
CAF Champions League

Tunafaidi uhondo wote huo kwa Tshs. 40,000/= (Elfu Arobaini) kwa mwezi tu. Tafuta wakala wake ufaidi uhondo, huko kwengine unaibiwa, toroka uje!

NB:
Mimi nimewashtua tu wadau wa soka, mimi siuzi hivyo ving'amuzi, nimeamua kutumia kauli mbiu, Kizuri kula na mwenzako.

FB_IMG_1565516022659.jpeg
 
Canal nzuri sana sema upatikanaji wake but what i know bei yake ni 175000
 
Nashindwa kuelewa kwa nn kuna ving'amuzi kama hiki lakini watu wanakazana na Dstv na Azam?
Tatizo liko wapi?
Pengine elimu haijawafikia vizuri, hivyo kwa uzi kama huu tunajitahidi kuwashtua wadau wenzetu wanamichezo hasa wapenda soka, hata wapenda NBA, Formula 1, nk
 
Tatizo ni kwamba hata mdau kama ww hutupi maelezo ya upatilanaji wake na bei yake..

Shida ndo inapoanzia na mupo wengi
 
Watu wananunua azam kwa ajili ya ligi kuu,hebu waache ligi kuu kama watauza.DSTV inanunuliwa kwa sababu ya EPL na ligi zingine kibao halafu wanaaminika hawana magumashi ila bei yao ndo ishu
Nashindwa kuelewa kwa nn kuna ving'amuzi kama hiki lakini watu wanakazana na Dstv na Azam?
Tatizo liko wapi?

Tatizo ni kwamba hata mdau kama ww hutupi maelezo ya upatilanaji wake na bei yake..

Shida ndo inapoanzia na mupo wengi
 
Pengine elimu haijawafikia vizuri, hivyo kwa uzi kama huu tunajitahidi kuwashtua wadau wenzetu wanamichezo hasa wapenda soka, hata wapenda NBA, Formula 1, nk
Sio elimu mkuu wao wenyewe wenye visimbuzi hawajawa rasmi kufanya shughuli zao bongo ni kama kwése tu
 
Hatimae wale wadau wa Canal Sport, kilio chenu kimesikika sasa ligi ya Serie A itaanza kuonekana katika king'amuzi cha Canal Sport kwanzia mwezi huu wa 8 tarehe 24.

Kupitia Canal Sport sasa utapata ligi zifuatazo mubashara
Uefa Champions League
Uefa Europa League
EPL
La Liga
Serie A
Ligue 1
CAF Champions League

Tunafaidi uhondo wote huo kwa Tshs. 40,000/= (Elfu Arobaini) kwa mwezi tu. Tafuta wakala wake ufaidi uhondo, huko kwengine unaibiwa, toroka uje!

NB:
Mimi nimewashtua tu wadau wa soka, mimi siuzi hivyo ving'amuzi, nimeamua kutumia kauli mbiu, Kizuri kula na mwenzako.

View attachment 1178239
Hivi mkuu hiki kisimbuzi kina channels zinazoonyesha movies (hollywood) kwa kiingereza mkuu na sio mambo ya lugha za kifaransa.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom