Serengeti to brew 5 EABL brands | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serengeti to brew 5 EABL brands

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Invisible, Mar 22, 2010.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Mar 22, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  [​IMG] A quality assurance official inspect a beer at EABL plant. Photo/FILE

  By MIKE MANDE
  The East African
  March 22, 2010

  Shareholders of the Tanzania Serengeti Breweries Ltd are in final talks with the East African Breweries Ltd, in a move that will see the latter take over a stake in the brewing firm.

  Mark Bomani, chairman of Serengeti said the company will then produce five EABL brands - Tusker, Guinness, Pilsner, Malta Guinness and White Cap - by May, after a three month transition period which began on February 22 ends.

  The transition period was to allow the company to end a manufacturing and distribution agreement with Tanzania Breweries Ltd, a SABMiller subsidiary in which EABL holds a stake.

  SBL began operations in 1996 as Associated Breweries Ltd (ABL) before it changed hands in 2002, after three local businessmen, Vital Meth, Mark Bomani and Mwita Gachuma acquired the firm.

  Early in the year, the company injected over $40 million for the construction of a new plant with a capacity to produce 500,000 hectolitres in Moshi, Kilimanjaro region, in a bid to meet the local demand.

  Teddy Mapunda, the public relations and communications manager of Serengeti said the firm had, in the past five years grown by 10 per cent and that the partnership with EABL would create an opportunity for further growth.

  Ms Mapunda said during the 2008 financial year, Serengeti paid over $24 million in taxes, making it one of the largest taxpayers in the country.

  The company produces and distributes Serengeti Premium Lager, Serengeti the Kick, Stella Artois under license from Inbev and Vita Malt Plus, which add up to 180,000 hectolitres of beer per month.

  Vita Malt Plus is a non-alcoholic beverage produced under licence from Royal Unibrew of Denmark, northern Europe's second largest producer of non-alcoholic drinks.
   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Duuh afadhali maana V2 Bariiiidi!!!! Vilianza kuadimika...
   
 3. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2010
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Waache kutupandishia bei kila siku kisa kuchangia timu ya taifa, watupe serengeti kwa bei ubwete tujinome
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  dah walitusumua sana hapa mitaa ya kati

  sasa hatma ya TBL itakuwaje manake napata picha kuwa bia zinazonywewa kwa sana mtaani ni Serengeti na tusker, na kwa sasa ndovu, sasa wakichukua tusker TBL haitaathirika kwa namna moja au nyingine kweli?
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Hii move itaifanya TBL ipate mtikisiko kidogo maana wana volume kubwa sana ya bia za EABL. Najaribu kuona next move ya makaburu itakuwaje....kununua Serengeti kama walivyofanya enzi zile jamaa walipojenga kiwanda chao Kenya?
  Kitu kizuri Kenya ni kuwa wao hakuzaliwa mtu kama balozi Ammi Mpungwe, msifika wa kutuletea wawekezaji kutoka kwa mzee Madiba. Kenya wawekezaji hawa kutoka kwa Madiba wanamtihani kweli kuweza kufanya wanayofanya Tanzania. Huku wanapokewa na red carpet, wakipewa sifa kemkem.
   
 6. Mama Nim

  Mama Nim Senior Member

  #6
  Mar 22, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serengeti serengeti ... Tusherehekee na chui ndo mwenyewe
   
 7. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  hakuna la kusherekea hapa Hawa EABL ni wajanja saana Ikumbukwe walikubali kuuwa Kibo Breweries kwa kubadilishana na TBL ndo wakafikia deal ya TBL kuzalisha bia zao haijapita miaka 10 wameshajiingiza kwa serengeti Breweries, wasiwasi wangu kun auwezekano mkubwa saana wa hawa wakenya kuuwa kiwnda cha Serengeti, Historia italidhibitisha hili. kwani agenda yao ni kutaka brand zao kama Tusker zidominate the whole market of east africa

  je EABL watazalisha na kusambaza brand za serengeti breweries Kenya?.Je shairi itakayotumika kuzalisha bia through huo ubia itatoka kwa wakulima wa Kenya au watanzania? serekali imefanya nini kutetea maslahi ya taifa katika huu mkataba? Tuliona Kibo breweries watu walipoteza ajira serekali haikusema lolote walichokisema Ikulu imebariki makubaliano yale. imefika mahali sasa kama serekali ni yawananchi iamke na kutetea maslahi ya wananchi kwenye hii mikataba
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  wametoka mbali sana na TBL inawafanyia visa kuna wakati serengeti zilikuwa zinauzwa kwa mafungu. 800 unapata the kili mbili au tatu.
   
Loading...