Serena Williams Visits Kenya and Opens School.

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,224
_45206900_01_serena_afp.jpg

US tennis star Serena Williams gives laptop tips to pupils at the Serena Williams Secondary School which she opened 160km east of Nairobi on Friday.

Serena leaves after Kenya tour

Updated 3 hr(s) 59 min(s) ago

By Feverpitch Correspondent

spo_171108_03.jpg

Serena Williams

World number two female tennis player Serena Williams has left the country after a successful three-day charity tour.

Serena, who boasts of nine singles Grand Slam titles, arrived in Nairobi last Thursday and among the places she toured include Makueni District where she opened a secondary school named after her’— Serena Williams Secondary School Matooni.

She also met Prime Minister Raila Odinga and conducted a clinic at Sadili Oval Sports Centre in Lang’ata, Nairobi.

Serena is the youngest of Williams’ siblings and her elder sister Venus is also a former Grand Slam champion. Before she departed on Sunday, Serena said she was happy to visit Kenya and promised to return.

On the local front, Shufaa Changawa beat Lyn de Souza with straight sets of 6-1, 6-1 to win the Bamburi Beach and Southern Palm junior tournament at Mombasa Sports Club.

This was Changawa’s second win over de Sousa as she had earlier beaten her 4-1, 4-1 in the girls’ under-16 final.

The boys’ under-18 trophy went to Klaus Teller who defeated Martin Wandera 4-1, 4-0 in a single final to claim gold medal.

Joan Wekesa starred in the girls’ under-14 after she beat Cheryl Olaba 4-1, 4-1 in the final to finish top.

Ryan Lakhani beat Neel Dhudia 6-4, 3-6, 6-4 in a boys’ under-10 final as Preet Chudasama overcame Abir Singh 15-10, 15-10 in an under-8 final played on points format.

The Standard | Online Edition :: Serena leaves after Kenya tour
 
_45206900_01_serena_afp.jpg

US tennis star Serena Williams gives laptop tips to pupils at the Serena Williams Secondary School which she opened 160km east of Nairobi on Friday.

Serena leaves after Kenya tour

...African Americans wamecharukwa kuja East Africa jamani, duh... kunani?, siri ya urembo gani wamegundua hawa, ni matokeo ya Sullivans meeting au ndio Obamania?
 
add.jpg

Serena Williams addresses the media after opening the Serena Williams Secondary School in Makueni district.

kao.jpg

Serena Williams with Sports minister Prof Hellen Sambili and Dr Elizabeth Odera at Sadili Oval Club.

fika.jpg

Serena Williams arrives in Makueni to open the Serena Williams Secondary School. She is accompanied by Education minister Prof Sam Ongeri.

jig.jpg

Serena Williams and her mother Oracene Williams on stage after the former opened the Serena Williams Secondary School in Makueni district.
 
Kheeee heeeee Kheeeee....Eeeh!
Kamanda mbona unamchunguza sana mama mtu?...
:D

Nahisi hawa Williams watapendeza wakiacha hizo wigi. Halafu wanazivaa mno ati. Ila nimeangalia tena hiyo picha nikaona rangi ya ngozi haijachokonolewa, which is very nice.
Maimartha akijaliwa mtoto akawa mweusi, huwa najiuliza - atampaka mkorogo?

Dogo ukucha wa muhindi wa EPA umepona?

:D
...mpaka nimepaliwa, dah!

.
 
:D
...mpaka nimepaliwa, dah!

.

Dogo Shy, I guess gets insane wakati mwingine, huwa anapost vitu vya kitaahira, alipost kuna muhindi wa EPA ameumizwa ukucha, hakutokea kuja kuthibitisha na yupo anadunda tu!!! Ananikera si siri
 
Black is one of her favorite color I've noticed. Kwenye picha zake nyingi anavaa pamba nyeusi.
Ab-Titchaz, anything interesting from her speech?

.
 
ile post ilifutwa mimi nimekuja sijaikuta sasa ulitaka nifungue nyingine wakati imeshafutwa ? wewe yoyo wewe
 
Black is one of her favorite color I've noticed. Kwenye picha zake nyingi anavaa pamba nyeusi.
Ab-Titchaz, anything interesting from her speech?

.

It was a charity event na alitia shinikizo kwenye swala la kuelimisha
watu regardless of where they are.Kumbuka shule yenyewe iko
vijijini na sio Nairobi...mwanamama kawabwagia laptop za kuhesabu.
 
Black is one of her favorite color I've noticed. Kwenye picha zake nyingi anavaa pamba nyeusi.
Ab-Titchaz, anything interesting from her speech?

.

[media]http://www.youtube.com/watch?v=3YVz4a262_M[/media]
 
Kumbe wa kawaida tu.
Utafikiri mndengereko ukimshusha Manzese au K/KOO watu wanaweza sema mbongo tu.
 
Kumbe wa kawaida tu.
Utafikiri mndengereko ukimshusha Manzese au K/KOO watu wanaweza sema mbongo tu.

:)
...ndio hapo! ila kwanini Serena ni multi-millionaires kwa kucheza tennis tu, au Obama ameachieve yote hayo ya Prez wa Harvard Law Review, Illianois Senator na sasa USA prez? ....100% dedication and commitment to achieve what you want!

inanikumbusha, YES WE CAN, (...unless, we dont want to CHANGE!)
 
Yuko vizuri upstairs. Hao wa.manzese na kariakoo si wa kulinganishwa naye
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom