Serena Williams poses up a storm!

Mabody mengine bora tu uone juu ya nguo...sioni kitu chochote cha zaidi. Kumbe cellulite kama mie nisiye fanya mazoezi....

Shangazi, walisema 'beauty lies in the eyes of the beholder'....hata weye na cellulite zako uko bomba tu...:A S shade:
Kuna watu wanakanyagana miguu na kuvunja kucha ilmradi tu wakufikie!...upo hapo?
 
Mwanamke ana misuli huyo!! Ingekuwa chaguo siyo type kabisa!! Labda kwa wale marios na masharo wanaoshobokea hela za wamama matajiri wa mujini.
 
Mwanamke ana misuli huyo!! Ingekuwa chaguo siyo type kabisa!! Labda kwa wale marios na masharo wanaoshobokea hela za wamama matajiri wa mujini.

Dada yake Venus ndo yuko kike bana !
 
Dah huyo babu anavyopiga picha kwa makini utadhani ni Asprin yupo kwenye ukaguzi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…