Serekali iweke kliniki ya matibabu ya akili kuzuia matukio yanayotokea mapema

MIRIMA

Member
Jul 17, 2023
83
265
Ni wakati wa serekali kuweka clinic ya matibabu ya akili (mental health disorders/ mental illnes)Kwa kuanzia zahanati, vituo vya afya, Hospital za wilaya, Mkoa, Rufaa. Kama inavyo fanya Kwa magonjwa mengine kama ukimwi, kisukari n.k

Matukio yameongezeka Kwa kiasi kikubwa ,Kuna mengine hayatangazwi kama yanayotokea huko vijijini. Watu kunjinyonga, kuana na matukio mengine ya ajabu yanaweza kupunguzwa au kuzuiliwa kabisa kama serekali itatengeneza njia sahihi Kwa kuajiri Wana phychologist wakutosha.

Polisi peke yao hawatasaidia zaidi ya kutoa taarifa Kwa umaa baada ya tukio.
 
Back
Top Bottom