Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,920
- 15,610
Serbia ni mojawapo ya nchi za Ulaya na ambayo ilifanya maombi ya kujiunga na Umoja wa Ulaya mwaka 2009. Majadiliano yake na EU kuhusu kukubaliwa uanachama yanaendelea na inategemewa kupewa uanachama huo mwaka 2025.
Pamoja na hayo yote, Serbia imeamua kupuuzia mbali vikwazo vilivyowekwa na Umoja wa Ulaya (EU) dhidi ya Russia. Rais wa Serbia bwana Aleksandar Vucic kaitangazia dunia kuwa leo ameingia mkataba mnono mno wa gesi (extremely favourable natural gas deal) na rais Putin kupitia mazungumzo ya simu.
Rais huyo kaoneza kuwa anatarajia kusaini mkataba huo haraka iwezekanavyo, ndani ya siku za mwanzoni za mwezi June unaoanza keshokutwa wakati ambao waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergey Lavrov atafanya ziara nchini Serbia.
=====