Sera za CCM ziliua agoa?

Sera za CCM ziliua agoa?

dotto

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
1,725
Reaction score
257
Wana JF kila kinachoanzishwa na Serikali iliyona umiliki na CCM kimekuwa kama kina laana. HIvi AGOA ilikufakufaje huku wenzetu Kenya, Nigeria, Ghana,Angola, Zambia wanaendelea kupata manufaa makubwa??
 
wana jf kila kinachoanzishwa na serikali iliyona umiliki na ccm kimekuwa kama kina laana. Hivi agoa ilikufakufaje huku wenzetu kenya, nigeria, ghana,angola, zambia wanaendelea kupata manufaa makubwa??
sasa kama wewe hujui ilikufa je na unatuuliza sisi mbona tayari ushaanza kuishambulia ccm kabla hata hatujakuelekeza kilichoiua?unajua agoa ni nini?
 
It is obvious, mashariti ya AGOA yalikuwa ni magumu sana kuruhusu wafanyabiashara wenye mizizi nec kuweza kufanya mambo yao ndio maana haikupewa kipaumbele.

kitu kingine ni hurka ya Kikwete kutaka kuonekana kaanzisha kitu fulani yeye, inawezekama alitoa maelekezo maalumu sababu hakushirikishwa kwenye uanzilishi wake wakati akiwa waziri wa mambo ya nje.
 
Back
Top Bottom