Sera ya viwanda ikitimia 2020 nitahamia CCM

Hata mie nitavaa kijani kabisa na kutembea kifua mbele pamoja na kuwa hiyo rangi sipendi kabisa ila kwa kuwa itakuwa nchi ya viwanda nitavaa kabisa.
 
Soma argument yake uielewe kwanza ndio ubwabwaje. Wewe eleza unadhani kwa nini sera ya viwanda itawezekana kabla ya mwaka huo, hiyo ndio namna bora ya kujadiliana.
Hivi tatizo lako ni elimu au kwa sababu unetoka kabila lenye asili ya ubishi tuu?
Usimlaumu ndivyo uelewa wake ulivyo mkuu.
 
Soma argument yake uielewe kwanza ndio ubwabwaje. Wewe eleza unadhani kwa nini sera ya viwanda itawezekana kabla ya mwaka huo, hiyo ndio namna bora ya kujadiliana.
Hivi tatizo lako ni elimu au kwa sababu unetoka kabila lenye asili ya ubishi tuu?

Sina muda huo mie
Kufuata asemayo Vibendera
 
Tunalo chaguo la Mungu tutafika tu mkuu!
 
Kiwanda cha helikopta na gari aina ya kaparata tayar vimeishaonesha ni nchi ya viwanda!!!hahhahaaha yaaan kweli hii ndo tanzania ya maigizo full kukurupuka,,ngoja tuone mwisho wapicha
Dah, wabongo mna maneno jamani.
 
Mkuu Kaa Ukijua Kwamba Ule Wimbo Wa MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA Ambao Tumeimbishwa Sana Na CCM Hivi Sasa Wamepata Kiitikio Chake Kinachoitwa TANZANIA YA VIWANDA.
 
Wee naona huna mpango wa kuhamia huko ugambani sababu za kukufanya uende huko its obvious ni geresha kwa sababu tunajua it's next to impossible!😕
 
Wee naona huna mpango wa kuhamia huko ugambani sababu za kukufanya uende huko its obvious ni geresha kwa sababu tunajua it's next to impossible!😕
Kama ni next impossible kwahiyo wananchi walifanya makosa 2015?
 
Duh mkuu una moyo mgumu sana yaani bado unaamini kutakuwa na Tz ya viwanda daaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…