Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,958
MakondaHili suala kwanini limeshamiri sana kipindi hichi? huko nyuma tulikuwa tuna Sera za kusapoti haya mambo? Mbona tulikuwa hatushupaliwi? Chama kinachoongoza TZ ni kile kile.
MakondaHili suala kwanini limeshamiri sana kipindi hichi? huko nyuma tulikuwa tuna Sera za kusapoti haya mambo? Mbona tulikuwa hatushupaliwi? Chama kinachoongoza TZ ni kile kile.
Hili suala kwanini limeshamiri sana kipindi hichi? huko nyuma tulikuwa tuna Sera za kusapoti haya mambo? Mbona tulikuwa hatushupaliwi? Chama kinachoongoza TZ ni kile kile.
Yaani Makonda ndo kawaambia kuwa hatusapoti ushoga? Walikuwa hawajui kuwa hatujawahi sapoti ushoga?Makonda
Yaani Makonda ndo kawaambia kuwa hatusapoti ushoga? Walikuwa hawajui kuwa hatujawahi sapoti ushoga?