Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,321
- 13,763
Kimsingi mimi ni mmoja wa watu wanaounga mkono juhudi za Rais Magufuli,
Baada ya kusoma maazimio ya EU nimegundua kwamba 87% wameelezea sera za Ushoga ambazo kwa Rais imara kama Magufuli hawawezi Kumuendesha jinsi wanavyotaka wao nimeona Neno "We Instruct President" Rais hawezi ku entertain huu upuuzi acha akose fedha zao lakini hawawezi kukubali sera zao hasa sera kuu ya Kutetea ushoga.
Tanzania ni Nchi huru Rais Magufuli endelea kupiga gia achana na Mabwanyenye.