Ukiangaalia kwa makini sera ya mambo ya nchi za nje ya Rais Magufuli haitofautiani Na sera za Hayati Baba wa taifa Mwalimu Nyerere, haiwezekani na ni aibu kwa viongozi wote wa Afrika Mashariki kujikusanya Nairobi ili kukutana na Waziri Mkuu wa Israel. Kwa uamuzi wa Rais Magufuli kutohudhuria mkutano huo na badala yake kumtuma Balozi Mahiga l salute you Mheshimiwa Rais Magufuli.
Nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 80s ulifanyika mkutano wa nchi zisizofungamana na upande wowote huko Cancun Mexico, Rais wa Marekani kwa wakati huo Ronald Reagan alioomba kukutana na Mwalimu Nyerere, ilibidi Rais wa Marekani (Superpower Country) amufate Mwalimu Nyerere Hotelini kwake kwa majadiliano. Mheshimiwa Rais Magufuli endeleza sera zako kwa style hiyo ili sera ya nje ya Tanzania irudi katika heshima yake.
Duu hizi fikra za ajabu kweli yaani kutohudhuria vikao ni ni sera ya mambo ya nje ya nchi yetu au hujui maana ya sera? We unajua kwa nini hajaenda?Ukiangaalia kwa makini sera ya mambo ya nchi za nje ya Rais Magufuli haitofautiani Na sera za Hayati Baba wa taifa Mwalimu Nyerere, haiwezekani na ni aibu kwa viongozi wote wa Afrika Mashariki kujikusanya Nairobi ili kukutana na Waziri Mkuu wa Israel. Kwa uamuzi wa Rais Magufuli kutohudhuria mkutano huo na badala yake kumtuma Balozi Mahiga l salute you Mheshimiwa Rais Magufuli.
Nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 80s ulifanyika mkutano wa nchi zisizofungamana na upande wowote huko Cancun Mexico, Rais wa Marekani kwa wakati huo Ronald Reagan alioomba kukutana na Mwalimu Nyerere, ilibidi Rais wa Marekani (Superpower Country) amufate Mwalimu Nyerere Hotelini kwake kwa majadiliano. Mheshimiwa Rais Magufuli endeleza sera zako kwa style hiyo ili sera ya nje ya Tanzania irudi katika heshima yake.
Kwa tegemezi lenu hilo ndio mmeshazoea kuwa na viongozi wanaozunguka dunia nzima kuomba misaada.Ebu tufikiri kidogo, kati ya Israel a close allies of westerners na TZ nani anaweza kumuhitaji mwezake zaidi??????
Kodi mtalipa tu ili mpate Elimu bora sio ya kata and huyo mdudu ujinga uishe kwenye vichwa venu tupate Tanzania mpya ya Wasomi sio mafisadi,wavivu na majizi.Sasa wee ngumbaru,,, hujui kuwa anayofanya Magufuli ndo yanakufanya ukalipe VAT uchwara?
Endelea kusifia!!