Sera ya makazi bora, Kikwete kuua Uchumi Lowassa ageuka Slaa.

Manu.

JF-Expert Member
Nov 9, 2014
689
180
Nimefarijika sana jana pale nilipomsikia Edward Lowassa akisemea yale ambayo wengine wengi wakishindwa kusema isipokuwa Dr Slaa,
Sera ya makazi bora mwaka 2010 Kikwete na Lipumba walisema haitekelezeki, Lowassa naona kaibeba.... Nimefarijika.
Watu hawauoni mfumko wa bei unaozidi kumkandamiza mtu wa chini... Dr Slaa amekuwa akisemea peke yake, Lowassa jana kaliona na kusemea hilo.
Dr Slaa mawazo yako yanaishi.
 
Ni aibu kwa serikali ya ccm,miaka zaidi ya hamsini ya uhuru maeneo mengi kwenye jiji la dsm watu wananunua maji ya kupika,kuoga,kufulia nk kwenye madumu yanayopitishwa na mikokoteni,aibu sana,kutoa huduma ya maji tu imewashinda sembuse kufufua viwanda?shame u,CHANGE IS INEVITABLE
 
Jingine nililofuharia ni pale alipopinga maeneo muhimu kwa uchumi wa nchi kutokufanya kazi 24/7 huku akitumia bandari kama mfano.
 
Alisimamia shule za kata kwa miaka michache na alipoondoka zikafa mikononi mwa Kayanza na JK
 
Nimefarijika sana jana pale nilipomsikia Edward Lowassa akisemea yale ambayo wengine wengi wakishindwa kusema isipokuwa Dr Slaa,
Sera ya makazi bora mwaka 2010 Kikwete na Lipumba walisema haitekelezeki, Lowassa naona kaibeba.... Nimefarijika.
Watu hawauoni mfumko wa bei unaozidi kumkandamiza mtu wa chini... Dr Slaa amekuwa akisemea peke yake, Lowassa jana kaliona na kusemea hilo.
Dr Slaa mawazo yako yanaishi.
Huyu mtu ndio tutampa kura zetu za ndio kwa wingi, nimeanza safari za kwenda vijijini kuelimisha watu ili wazijue haki zao na nchi yao inavyotakiwa kuendeshwa kwa misingi ya haki na usawa.
 
huko kwenye baraza ni ilani ya chama na vipaumbele yao ndio vinafanya kazi sio mawazo ya mtu. labda rais atumie nyazifa yake kuingiza jambo lakini sio wengine.
 
Ila awe makini na kauli zake, isije onekana kama vile ameanza Campaign mapema akawekewa pingamizi bure
 
Back
Top Bottom