Sera ya Kilimo kwanza ni muhimu sana irudishwe

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,832
Reaction score
15,624
Bado sijaelewa kama nchi ni kwanini sera ya kilimo kwanza imesitishwa!. Serikali ingesaidia kuweka umeme, barabara na kama nchi tufanye biashara ya kilimo kuna soko la Congo, Kenya, Sudan na masoko ya nje. Vilevile uwekezaji sio mkubwa na maisha ya watu wengi itasaidi
 
Attachments

Naona Raisi Samia ananisikiza kwenye hili
Pascal Mayalla Zitto
 
Back
Top Bottom