sera mojawapo ya chama cha siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sera mojawapo ya chama cha siasa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Haika, Apr 17, 2011.

 1. H

  Haika JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Tutageuza majengo yote ya Serikali Dodoma kuwa vyuo vikuu na vyuo vya ufundi kwa kuendelea na azma yetu ya kuachilia mbali mpango wa kuhamishia makao makuu kwenda Dodoma. Dodoma itakuwa ni jiji la vyuo na kitovu cha elimu cha nchi.


  Nilikuwa napitia sera za vyama nikakutana na hii. Mi nimeipenda, kwani ninashangazwa na kigugumizi cha sasa hivi. bora hawa wanasema kitu fresh na practical nadhani, wewe unaonaje?
   
Loading...