Sera Mbadala: Chadema yatikisa Mbeya

Angalizo : Hotel zaanza kujaa , kama unahitaji kulala Mbeya mjini ili uwahi kongamano fanya booking mapema .
 
Polisi hivi sasa wako busy kufikiria mbinu ya kuvuruga kongamano hilo! Masikio yao yako juu juu kama sungura!
Watakwambia hiyo wiki IGP atakua ameng'oa jino hivyo shughuli za kisiasa itabidi zisubiri kwa muda.
Tena jinsi walivyokua makini wameanza kwenye mkoa ambao mkuu wake ni mmoja wa mapompo
 
chadema kuna mambo ingewapaisha kisiasa km mauaji ya waliopigwa risasi huko kigoma upotevu wa 1trilion ambayo haijapelekwa bot.
 
Mkuu huo uwanja mkubwa unataka jiwe atoe watu sadaka wasio na hatia? au wewe ni mgeni nchi hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…