Sera Mbadala: Chadema yatikisa Mbeya

Kwa jiji zima kama la mbeya huwezi kufanyia kongamano katika kiroyal Kama tughimbe ni kidogo Sana japo naishi nyumba yakupanga ,kwa Mbalizi ni kweli inahadhi yake lakini ni padogo Sana angalau lingefanyika eneo Kama uwanja wa mahubiri ingekua ni nafasi kubwa kwa wananchi kuhudhuria kongamano Hilo mtawanyima nafasi na haki ya kimsingi kuwaunga mkono kwenye juhudi hizi
Naomba kuwasilisha
 
royal tughimbe ya mafyat itakua....pale pana ukubwa fulan
 
Viwonder vya chadema!,badala ya kubuni miradi ya kuwaongezea mapato yakujiendesha na kukarabati vyoo vya ufipa wamekalia majungu na mikutano ya ajabuajabu aaaaghrrrrrrrrrrrh!
 
Iko wapi hiyo video.
Hii video ndio ambayo nimeipenda Sana maana imenithibitishia kile ninachowaambia watu kuwa Hata Akiondoka Mbowe, bado chama kitakua strong. Tizama hii video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…