September 2nd....

Tusitegeme haya kutokea UKAWA si wajinga waingie katika vita iso na macho wala masikio nimaneno tu hakutokua na maaandamano yoyote.
 
Hii pia ni siraha moja wapo... wengine wakiona hivyo wanahairisha
 
TEH TEH TEH...... Heri yao wapatanishi,maana hao wataitwa wana wa Mungu.
 
Hhahahahahahaa ngoja nimuite...

Monkey..... Nyaniiiiii..... Ngabuuu.... Sweet Pie..... Honey Bunny.... dadiiiiii Nyani Ngabu

Aaaauuuuwww what a smile...... ndomaana huwa sichoki kukubusu midomoni kila nikuonapo ......mmuah!!!

Kasinde Monkey Ngabu.
 
Mkulu halali kwa homa ya ukawa.mbona amejipalilia mwenyew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…