Sept 11: Maneno machache ngumi nyingi

Sept 11: Maneno machache ngumi nyingi

Joined
Jul 3, 2022
Posts
47
Reaction score
81
Ukipewa uenyekiti wa chama kaa ukijua chama chote sio chako, ukipewa suti sio kila kona unaweza kuivaa na ukipewa Gwanda sio kila patuni ni yako!

Lakini kuna Mnazareth wa Black African alipingana na falsafa hii,.

Yeye aliamini ukimiliki mpini anaebaki na jembe hatolima akasahau kuna wakora! Walilima kwa mawe na kuwasha moto kwa kupekecha vijiti.

Kwanza hakujua ugumu wa kazi ya kuwa masihi katika kizazi cha walalahoi, hakujua kila anaepewa fursa ya kuwa masihi ni mpango mkakati na sio ajali, hakujua kama kuwa masihi wa Black African kulihitaji zaidi ya maombi na sala.

Alipuuza vichache na kumakinika na vingi, lakini vichache hivyo ndio vilibeba hirizi ya umasihi wake nchini pale lakini hakujua hayo sababu aliamini ukiwa masihi wa wavuja jasho kila kitu shikamoo kwanza.

Alipopewa kazi ya ukombozi akachagua kuwapuuza watu wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI na kuwahusudu wavaa SUTI.Hiyo ni kawaida ya masihi wengi sana lakini kwa pale Black African lilikua kosa la kiufundi na kwa vile hakujua na Wala kutaka kujua aliendelea kuwa batiza kwa moto na kuwatakasa kwa giza kila aliefikiri tofauti yeye.

September 11th.....

Siku hii kuna wakora walipewa kazi ya kumnyang'anya uhai mzee mmoja wa makamo kuwathibitishia watu wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI kuwa hata yeye ni mwamba na hatishwi nao.Lakini vijana kazi iliwashinda na ku feli kwa kuwa mzee alikula chumvi nyingi mno na yake roho ikalishinda pepo la mauti kutoka kwa masihi.

Walifikaje hapa?.

Fungate ya uhuru,tulizo la wazee ndani ya MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI ilivamiwa na Masihi.

Masihi alikua na mkono mrefu wenye sifa za birika!Alipopewa kiti cha enzi pale Black African alitaka kumiliki kila kitu peke'ake........alitaka kuleta ukombozi kila kona ili kila mvuja jasho afurahie ''fungate ya uhuru" akasahau kuna akina ''Waso Dhambi." ambao ukijipeleka kwenye anga zao ndio utajua kwa nini supu la maharage halimfai mjamzito.

Kwanza aliamua kufatilia vyote vya nyuma wakati wa Masihi aliepita, akatindua kila alichoona hakipo sawa na kupanga na kupangua kadri alivyopenda lakini tindua tindua hii na panga pangua hii akafika mpaka kwa watu Fulani ndani ya MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI.Hili kundi linafahamika sana na Masihi aliepita na Mkata keki alieenda kulea wajukuu pia, na walimpa angalizo acheze kote ila ni marufuku kuacha viwanja na kwenda kucheza relini, lakini akapuuza maana aliamini katika kile alichochagua kukiamini na sio kile alichopaswa ama kutakiwa kukiamini na akasahau kua shujaa hupeleka msiba nyumbani kwake.Watu hawa walikua na uwezo wa kuigeuza Black African ifanane na somalia, Sudan na hata Palestina au Maymar ila walikua na nidhamu ya akili, mwili na hisia kwa kuwa kuna keki ya fungate ya uhuru nao walikua wanakula! Walichagha kujitenga mbali na siasa za Masihi.

Hivyo hawakujihusisha sana na mambo ya Masihi lakini walipofikiwa tu wakafura! Walizoea kusikia wenzao wakinyolewa kwa panga na kubatizwa kwa moto wakiamini wao hawaguswi ila walisahau kuwa Masihi alikua na tabia za kina Hideki Tojo, Adolph Hitler na Benito Mussolini,Akishasena ndio ni ndio na hapana ni hapana ukihoji unajichongea jeneza mwenyewe kwanza utabatizwa Msaliti, kibaraka cha mbuzi Tena beberu, mhujumu uchumi wa mifuko ya nchi na adui wa imma.

Kwa stahili hii akaogopwa kuanzia makanisani hadi misikitini, nyumbani hadi maofisini, vibaruani hadi deiwakani, viwandani hadi mashambani, bar hadi vilabuni, mjini hadi vijijini, machoni hadi mioyoni mwa waliomtazama kwa jicho la tatu na mlango wa sita wa fahamu na Kuamini Masihi ni kama 601 LA BOMBA CIGAR ndani ya gamba la Sports cigar.Ndiyo japo alileta ukombozi kwa vitendo zaidi lakini alipoanza kulazimisha kujiongezea urefu wa kimo chake cha mkono akawakera watu!Halafu tayari alianza kujihusisha na keki za watu kwa lazima bila kuombwa wala kualilwa.

Naam alianza kuingilia fungate ya uhuru wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI kwa nguvu asijue kwamba sio kila anaevaa kanzu ni muislamu wengine ni wasabato!.

Kwanza keki yao ikaanza kutoka kwa masharti na wakikatiwa na Masihi mwenyewe tena kazi hii alijipa mwenyewe ofauti na utaratibu wao, labda alijiamini kwa kua Mkata keki mkuu alikua ni bosi wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI.Lakini akasahau kua ukipewa Gwanda sio kila patuni ni yako!Na mkata keki hakua chaguo la wazee hao na hawakumpenda pia.

Msimamia keki mwenyewe hawakumpenda kwa vile alikua ni mvulana mdogo japo shughuli yake huko mwituni ilitukuka na lakini hakua mwanaume kama wao.Mbaya Sasa wao ndio walishika kila kitu na wangeweza kuamua lolote bila yeye kuhoji Wala kuingilia kwa kifupi Mkata keki alikua Hana say mbele yao.

Sababu hizo mbili ziliwakera wakaamua kumwaga mboga! Lakini masihi hakumwaga ugali badala yake alitafuta mboga nyingine na kwingine akala na kuwaacha tu.Lakini hakuwa na amani nao maana watu wenyewe hawanaga stori mara mbili kwenye jambo lao! Ni watu wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI ukiji-mix kwao wanakupika, akatafuta ulinzi kutoka kwa Masihi wa jirani aliejimilikisha kazi ya ukombozi wa walalahoi wake na anaogopwa zaidi ya kifo kiasi kwamba raia wake wanamsemo wao''Ukitaka kumuona nyau mbaya jimix siasani na uwe na katabia ka mafarisayo mbele ya mwana wa yusufu na maria" .Kuna muda alienda kujihifadhi kwenye ghetto lake la sirini kuwakwepa, sababu alijua alichokifanya na anachoendelea kukifanya kimetia mchanga kwenye kitumbua chao.

Watu hawa wakaona isiwe tabu ya nini wasumbuane wakati wao sio roporopo kama Masihi, mana wao ni watu wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI?Wakachagua kumsusia Black African yote!Yeye SI mjuaji?Basi aendelee na UJUAJI wake huku akijilinda yeye na walalahoi wake.

Masihi kupata habari akaogopa! Haikuwa taarifa njema kwa usal
ama wa Black African na ndio hapa akaamua kuwabatiza kwa moto weee!!

Wao walizoea kubatizwa kwa Uji wa Volcano sio moto.Naam sasa mambo ya kubatizana kwa moto kwao lilikua tusi maana waliona ni kupimwa how smart they are!!?Wakataka kumuonyesha wao ni sampuli gani.

Mmoja wa watu hawa ndani ya MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI akakatiza kwenye kumi na tisa za Masihi, akapelekewa suti kadhaa zikamshindilia vyuma akakataa kurudi mavumbini wenzake waksanuka!Na kuona huyu Masihi yuko Siriazi mno hivyo Wakachagua kula nae kikauzu.

Wakaamua kujibu mapigo kimakati sana , wakamkwida Mkata keki na kumtupa lupango yao halafu wakamtafuta Masihi na kumpa amri japo kiprotokali ni bosi wao lakini kwa muda huo wao ndio wakawa mabosi wake, akapewa dakika chache za kuwafata vinginevyo walala hoi na wavuja jasho wanaweza kuanza kulala saa moja na wainjiliati kuanza kuripoti vituo vya khaki kwa usalama wa pumzi zao.

Masihi akaenda wakaamua kumtolea uvivu na wakampa za chembe .

1.wewe una mkono mrefu.
2.wewe ni masihi wa familia yako na sio walalahoi.
3.Sisi hatuwezi kuwa na uswahiba na watu wa kariba yako.

Wakampa amri kuwa wanataka kucheza na wajukuu zao hivyo wakatiwe keki yao wakalee wajukuu, Masihi akiwa mnyonge kama mwizi alieshikiwa panga panga akakubali.

Vyombo vya hatari vikasema wakora walikua wamemchabanga mmoja wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI.

Black African ikapoa.

Masihi akawaamimi wavaa suti.

Akayakanyaga akarudi mavumbini, wanakondoo wakalaumu kwa nini mitume hawakusaidiana na Makata keki ili kumtumliza Mashairi ya chekacheka!?

JIBU NI KWAMBA MASIHI ALIKOROFISHANA NÀ MANENO MACHACHE NGUMI miaka zaidi ya mitatu kabla ya Sept 11th.

______________________________________

There is a story is n everything.

Cc. Commander of hand to mouth Battalion
 
Ukiwa chama chote sio chako, ukipewa suti sio kila kona unaweza kuivaa na ukipewa Gwanda sio kila patuni ni yako!

Alipopewa kazi ya ukombozi akachagua kuwapuuza watu wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI na kuwahusudu wavaa SUTI.Hiyo ninkawaida ya masihi wengi sana lakini kwa pale Black African lilikua kosa la kiufundi na kwa vile hakujua na Wala kutaka kujua aliendelea kuwa batiza moto na giza kila aliefikiri tofauti yeye.

September 11th.....

Siku hii kuna wakora walipewa kazi ya kumnyang'anya uhai mzee mmoja wa makamo kuwathibitishia watu wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI kuwa hata yeye ni mwamba na hatishwi nao.Kazi ikafeli mzee alikula chumvi nyingi roho ikalishinda pepo la mauti kutoka kwa masihi.

Walifikaje hapa?

Masihi alikua na mkono mrefu wenye sifa za birika!Alipopewa kiti cha enzi pale Black African alitaka kumiliki kila kitu peke'ake........alitaka kuleta ukombozi kila kona ili kila mvuja jasho afurahie ''fungate ya uhuru" akasahau kuna akina ''Waso Dhambi."

Kwanza aliamua kufatilia vyote vya nyuna wakati wa Masihi aliepita, akatindua kila alichoona hakipo sawa na kupanga na kupangua kadri alivyopenda lakini tindua tindua hii na panga pangua hii akafika mpaka kwa watu Fulani ndani ya MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI.Hili kundi linafahamika na walikua na uwezo wa kuigeuza Black African ifanane na somalia, Sudan na hata Palestina au Maymar ila walikua na nidhamu ya akili, mwili na hisia kwa kuwa kuna keki ya fungate ya uhuru nao walikua wanakula!

Hivyo hawakujihusisha sana na mambo ya Masihi lakini walipofikiwa tu wakafura! Walizoea kusikia wenzao wakinyolewa kwa panga na kubatizwa kwa moto wakiamini wao hawaguswi ila walisahau kuwa Masihi alikua na tabia za kina Hideki Tojo, Adolph Hitler na Benito Mussolini.

Kwanza keki yao ikaanza kutoka kwa masharti na wakikatiwa na Masihi, tofauti na utaratibu wao.

Msimamia keki mwenyewe hawakumpenda kwa vile alikua ni mvulana na sio mwanaume kama wao.

Sababu hizo mbili ziliwakera wakaamua kumwaga mboga! Lakini masihi hakumwaga ugali badala yake alitafuta mboga akala na kuwaacha tu.

Watu hawa wakaona isiwe tabu ya nini wasumbuane wakati wao sio roporopo kama Masihi, ma'am wao ni watu wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI?Wakachagua kumsusia Black African yote.

Masihi kupata habari akaogopa! Haikuwa taarifa njema kwa usalama wa Black African na ndio hapa akaamua kuwabatiza kwa moto weee!!

Wao walizoea kubatizwa kwa Uji wa Volcano sio moto.

Mmoja wa watu hawa ndani ya MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI akakatiza kwenye kumi na tisa za Masihi, akapelekewa suti kadhaa zikamshindilia vyuma akakataa kurudi mavumbini wenzake waksanuka!

Wakaamua kujibu mapigo kimakati sana , wakamkwida Mkata keki na kumtupa lupango yao halafu wakamtafuta Masihi na kumpa amri japo kipritokali ni bosi wao lakini kwa muda huo wao ndio wakawa mabosi wake, akapewa dakika chache za kuwafata vinginevyo walala hoi na wavuja jasho wanaweza kuanza kulala saa moja na wainjiliati kuanza kuripoti vituo vya khaki kwa usalama wa pumzi zao.

Masihi akaenda wakaamua kumtolea uvi u!wakampa za chembe .

Kiukwel sijaielewa hii story yako ingawaje nimeipenda nnnooo
 
Safi sana imependeza
 
Ukiwa chama chote sio chako, ukipewa suti sio kila kona unaweza kuivaa na ukipewa Gwanda sio kila patuni ni yako!

Lakini kuna Mnazareth wa Black African alipingana na falsafa hii,.

Yeye aliamini ukimiliki mpini anaebaki na jembe hatolima akasahau kuna wakora! Walilima kwa mawe na kuwasha moto kwa kupekecha vijiti.

Kwanza hakujua ugumu wa kazi ya kuwa masihi katika kizazi cha walalahoi, hakujua kila anaepewa fursa ya kuwa masihi ni mpango mkakati na sio ajali, hakujua kama kuwa masihi wa Black African kulihitaji zaidi ya maombi na sala.

Alipuuza vichache na kumakinika na vingi, lakini vichache hivyo ndio vilibeba hirizi ya umasihi wake nchini pale lakini hakujua hayo sababu aliamini ukiwa masihi wa wavuja jasho kila kitu shikamoo kwanza.

Alipopewa kazi ya ukombozi akachagua kuwapuuza watu wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI na kuwahusudu wavaa SUTI.Hiyo ni kawaida ya masihi wengi sana lakini kwa pale Black African lilikua kosa la kiufundi na kwa vile hakujua na Wala kutaka kujua aliendelea kuwa batiza kwa moto na kuwatakasa kwa giza kila aliefikiri tofauti yeye.

September 11th.....

Siku hii kuna wakora walipewa kazi ya kumnyang'anya uhai mzee mmoja wa makamo kuwathibitishia watu wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI kuwa hata yeye ni mwamba na hatishwi nao.Lakini vijana kazi iliwashinda na ku feli kwa kuwa mzee alikula chumvi nyingi mno na yake roho ikalishinda pepo la mauti kutoka kwa masihi.

Walifikaje hapa?.

Fungate ya uhuru,tulizo la wazee ndani ya MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI ilivamiwa na Masihi.

Masihi alikua na mkono mrefu wenye sifa za birika!Alipopewa kiti cha enzi pale Black African alitaka kumiliki kila kitu peke'ake........alitaka kuleta ukombozi kila kona ili kila mvuja jasho afurahie ''fungate ya uhuru" akasahau kuna akina ''Waso Dhambi." ambao ukijipeleka kwenye anga zao ndio utajua kwa nini supu la maharage halimfai mjamzito.

Kwanza aliamua kufatilia vyote vya nyuma wakati wa Masihi aliepita, akatindua kila alichoona hakipo sawa na kupanga na kupangua kadri alivyopenda lakini tindua tindua hii na panga pangua hii akafika mpaka kwa watu Fulani ndani ya MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI.Hili kundi linafahamika sana na Masihi aliepita na Mkata keki alieenda kulea wajukuu pia, na walimpa angalizo acheze kote ila ni marufuku kuacha viwanja na kwenda kucheza relini, lakini akapuuza maana aliamini katika kile alichochagua kukiamini na sio kile alichopaswa ama kutakiwa kukiamini na akasahau kua shujaa hupeleka msiba nyumbani kwake.Watu hawa walikua na uwezo wa kuigeuza Black African ifanane na somalia, Sudan na hata Palestina au Maymar ila walikua na nidhamu ya akili, mwili na hisia kwa kuwa kuna keki ya fungate ya uhuru nao walikua wanakula! Walichagha kujitenga mbali na siasa za Masihi.

Hivyo hawakujihusisha sana na mambo ya Masihi lakini walipofikiwa tu wakafura! Walizoea kusikia wenzao wakinyolewa kwa panga na kubatizwa kwa moto wakiamini wao hawaguswi ila walisahau kuwa Masihi alikua na tabia za kina Hideki Tojo, Adolph Hitler na Benito Mussolini,Akishasena ndio ni ndio na hapana ni hapana ukihoji unajichongea jeneza mwenyewe kwanza utabatizwa Msaliti, kibaraka cha mbuzi Tena beberu, mhujumu uchumi wa mifuko ya nchi na adui wa imma.

Kwa stahili hii akaogopwa kuanzia makanisani hadi misikitini, nyumbani hadi maofisini, vibaruani hadi deiwakani, viwandani hadi mashambani, bar hadi vilabuni, mjini hadi vijijini, machoni hadi mioyoni mwa waliomtazama kwa jicho la tatu na mlango wa sita wa fahamu na Kuamini Masihi ni kama 601 LA BOMBA CIGAR ndani ya gamba la Sports cigar.Ndiyo japo alileta ukombozi kwa vitendo zaidi lakini alipoanza kulazimisha kujiongezea urefu wa kimo chake cha mkono akawakera watu!Halafu tayari alianza kujihusisha na keki za watu kwa lazima bila kuombwa wala kualilwa.

Naam alianza kuingilia fungate ya uhuru wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI kwa nguvu asijue kwamba sio kila anaevaa kanzu ni muislamu wengine ni wasabato!.

Kwanza keki yao ikaanza kutoka kwa masharti na wakikatiwa na Masihi mwenyewe tena kazi hii alijipa mwenyewe ofauti na utaratibu wao, labda alijiamini kwa kua Mkata keki mkuu alikua ni bosi wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI.Lakini akasahau kua ukipewa Gwanda sio kila patuni ni yako!Na mkata keki hakua chaguo la wazee hao na hawakumpenda pia.

Msimamia keki mwenyewe hawakumpenda kwa vile alikua ni mvulana mdogo japo shughuli yake huko mwituni ilitukuka na lakini hakua mwanaume kama wao.Mbaya Sasa wao ndio walishika kila kitu na wangeweza kuamua lolote bila yeye kuhoji Wala kuingilia kwa kifupi Mkata keki alikua Hana say mbele yao.

Sababu hizo mbili ziliwakera wakaamua kumwaga mboga! Lakini masihi hakumwaga ugali badala yake alitafuta mboga nyingine na kwingine akala na kuwaacha tu.Lakini hakuwa na amani nao maana watu wenyewe hawanaga stori mara mbili kwenye jambo lao! Ni watu wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI ukiji-mix kwao wanakupika, akatafuta ulinzi kutoka kwa Masihi wa jirani aliejimilikisha kazi ya ukombozi wa walalahoi wake na anaogopwa zaidi ya kifo kiasi kwamba raia wake wanamsemo wao''Ukitaka kumuona nyau mbaya jimix siasani na uwe na katabia ka mafarisayo mbele ya mwana wa yusufu na maria" .Kuna muda alienda kujihifadhi kwenye ghetto lake la sirini kuwakwepa, sababu alijua alichokifanya na anachoendelea kukifanya kimetia mchanga kwenye kitumbua chao.

Watu hawa wakaona isiwe tabu ya nini wasumbuane wakati wao sio roporopo kama Masihi, mana wao ni watu wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI?Wakachagua kumsusia Black African yote!Yeye SI mjuaji?Basi aendelee na UJUAJI wake huku akijilinda yeye na walalahoi wake.

Masihi kupata habari akaogopa! Haikuwa taarifa njema kwa usal
ama wa Black African na ndio hapa akaamua kuwabatiza kwa moto weee!!

Wao walizoea kubatizwa kwa Uji wa Volcano sio moto.Naam sasa mambo ya kubatizana kwa moto kwao lilikua tusi maana waliona ni kupimwa how smart they are!!?Wakataka kumuonyesha wao ni sampuli gani.

Mmoja wa watu hawa ndani ya MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI akakatiza kwenye kumi na tisa za Masihi, akapelekewa suti kadhaa zikamshindilia vyuma akakataa kurudi mavumbini wenzake waksanuka!Na kuona huyu Masihi yuko Siriazi mno hivyo Wakachagua kula nae kikauzu.

Wakaamua kujibu mapigo kimakati sana , wakamkwida Mkata keki na kumtupa lupango yao halafu wakamtafuta Masihi na kumpa amri japo kiprotokali ni bosi wao lakini kwa muda huo wao ndio wakawa mabosi wake, akapewa dakika chache za kuwafata vinginevyo walala hoi na wavuja jasho wanaweza kuanza kulala saa moja na wainjiliati kuanza kuripoti vituo vya khaki kwa usalama wa pumzi zao.

Masihi akaenda wakaamua kumtolea uvivu na wakampa za chembe .

1.wewe una mkono mrefu.
2.wewe ni masihi wa familia yako na sio walalahoi.
3.Sisi hatuwezi kuwa na uswahiba na watu wa kariba yako.

Wakampa amri kuwa wanataka kucheza na wajukuu zao hivyo wakatiwe keki yao wakalee wajukuu, Masihi akiwa mnyonge kama mwizi alieshikiwa panga panga akakubali.

Vyombo vya hatari vikasema wakora walikua wamemchabanga mmoja wa MANENO MACHACHE NGUMI NYINGI.

Black African ikapoa.

Masihi akawaamimi wavaa suti.

Akayakanyaga akarudi mavumbini, wanakondoo wakalaumu kwa nini mitume hawakusaidiana na Makata keki ili kumtumliza Mashairi ya chekacheka!?

JIBU NI KWAMBA MASIHI ALIKOROFISHANA NÀ MANENO MACHACHE NGUMI miaka zaidi ya mitatu kabla ya Sept 11th.

______________________________________

There is a story is n everything.

Cc. Commander of hand to mouth Battalion
Safi sana usimulizi mzuri ila kama kichwa sio smart hufungui codes 😁😁😆😆😂😂
 
Kama kwa maneno yako unasema walimtishia na kwa unyonge akawapa keki Yao waliyotaka, sasa kwa nini wampeleke mavumbini
 
Maneno machache ngumi nyingi nihatari aiseeh masihi kitu alichokuwa anakosea niku yasema malengo yake hadharani Yani kesho ntafanya hivi au vile

R.i.p masihi
 
Hii September 11 ina maana kubwa kwa wananchi wa Marekani.

"Ngumi nyingi maneno machache" kauli hiyo pia inasadifu yaliyojiri.

What a coincidence?
 
Back
Top Bottom