Umetisha san mkuuNimejaribu mara nyingi kuiambia nafsi yangu kile nikiwazacho si halisi na si ukweli lakini kila mara imekua ikinisuta na kuniambia niseme ukweli wa moyo wala nisifiche maana ndipo amani itanijia " hakika nimeshindwa kujizuia tena naona leo niweke bayana Salma moyo wangu unakuhitaji na unatamani siku zote uwe karibu yangu na niwe nawe mpaka uzeeni kwangu maana nafsi yangu imetekwa na uzuri wa tabia zako na umbo lako pia hakika wewe ndo yule niliyekuwa nikimsubiri siku nyingi , naamini hakuna aliyekamilika ila kwa asilimia kubwa umeshinda zabuni ya kuumiliki moyo wangu ,nakupenda salma na ntahisi kuumiliki ulimwengu wote endapo utakubali kuungana nami salma ,,,,
Hahahaaaa"Hivi vifaa tumepewa bure, so njoo tuvitumie"
Nikiwa kijana niliwahi kumwambia msichana (alikuwa mkubwa kwangu) 'Njoo gheto nikutongoze' ...akaja, sikuhitaji kutongoza tena maana kuja kwake ilikuwa ni kukubaliana na tongozo! hatua husika ikachukua nafasi!Jameni wanaume Na wanawake tumeumbiwa kupendana!
Andika sentensi kali ya mtongozo ambayo haijawahi kukuangusha!
Mwanaume ambayo mwanamke ngumu kuchomoa!
Wanawake ni sentensi ipi uliwahi kuambiwa Na mwanaume ukanyong'onyea!! Au ukampa maksi za juu!
Tamu sanaaa hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuuMm huwa sijui kutongoza bali nikitaka demu or mwanamke yeyote yule huwa namwangalia tu machoni kwa kumkazia bila kupepesa macho lazima aangalie chino nashika mkono naenda kugegeda
Mistari kama ya Dr Love Pimbi hahhahaNimevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,unaonekana u mwanamke unaejiheshimu na kujali,kujitambua kwako kunakupa thamani zaid na tunu ya kuheshimiwa,nimeona unavyowajali wale watoto nikapata hisia je wangekua wakwako ungekuaje?unafaa kua mke,nahis kila MTU anataman kua na mke anaejal kama wewe,maadamu ktk nafs yangu naheshimu watu wiwili tu ktk hii dunia,mama mzaz alkenibeba na mke atakaekuja kua kama mama yang kwa upendo alionionyesha,wewe unakila dalili ya kua kama yeye,naomba hyo nafss nawe nikufanye malkia ktk ulimwengu huu...
Asee Leo tuna miaka tano ya ndoa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Moyo wangu umekudondokea,, njoo tuunganishe makojoleo!
Mm huwa sijui kutongoza bali nikitaka demu or mwanamke yeyote yule huwa namwangalia tu machoni kwa kumkazia bila kupepesa macho lazima aangalie chino nashika mkono naenda kugegeda
Huu Kweli ni mtongonzo kababeNimevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,unaonekana u mwanamke unaejiheshimu na kujali,kujitambua kwako kunakupa thamani zaid na tunu ya kuheshimiwa,nimeona unavyowajali wale watoto nikapata hisia je wangekua wakwako ungekuaje?unafaa kua mke,nahis kila MTU anataman kua na mke anaejal kama wewe,maadamu ktk nafs yangu naheshimu watu wiwili tu ktk hii dunia,mama mzaz alkenibeba na mke atakaekuja kua kama mama yang kwa upendo alionionyesha,wewe unakila dalili ya kua kama yeye,naomba hyo nafss nawe nikufanye malkia ktk ulimwengu huu...
Asee Leo tuna miaka tano ya ndoa....