A VILLAGER
Member
- Sep 29, 2012
- 27
- 6
inaonekana unakaa uswazi haswaa! sema ipi ni jinsia yako, yaelekea unapenda sana mipasho!Hatuhitaji kujua aina ya visimu mnavyotumia, ni ushamba mkubwa heti kwa kuwa unatumia simu ku google, basi unafikiri uko juuu saaaana! Lo! eti 'sent from my nokia asha, ...... sent from my blackbel' Hivi tangu simu zimeanza kutumika Tanzania nyie ndio kwanza mnaanza kutumia internet kweye simu ee? Acheni ulimbukeni huo!
Nafikiri imekugonga "delivered"
Una ushamba sana,kumbe hujawahi kutumia hizi Simu?hiyo msg zinaandika zenyewe!
Una ushamba sana,kumbe hujawahi kutumia hizi Simu?hiyo msg zinaandika zenyewe!
Hatuhitaji kujua aina ya visimu mnavyotumia, ni ushamba mkubwa heti kwa kuwa unatumia simu ku google, basi unafikiri uko juuu saaaana! Lo! eti 'sent from my nokia asha, ...... sent from my blackbel' Hivi tangu simu zimeanza kutumika Tanzania nyie ndio kwanza mnaanza kutumia internet kweye simu ee? Acheni ulimbukeni huo!
Mkuu! Unaweza kuondoa pia. Naungana na mleta mada. Ni ushamba hasa ukiwa umekusudia.